Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Kutoka Opta

6AEE3DC0-C15D-4E30-A7C4-E7B2E1EC32DA.jpeg
 
France Benzem ameonesha maturity kubwa sana na amewasaidia sana hadi hapa, hakosi kizembe, ile movement ya goli la 1 alivyodundisha mpira miguu ikiwa kwenye rabona style inatuonesha uwezo wake..... Wenyewe wanasema mvinyo unavyozidi kulala ndio unavoongezeka ubora.....

Pogba what a player aiseh, japo kutokukaba kumecost timu goli la 3 kwani mpira amenyang'anywa yeye, ila passing zile zaidi ya 4 kwenda kwa mbappe akiwa eneo zuri akashondwa kutumia.....Top bin yake ni moja ya magoli matamu sana.....anastahili kuuzwa paun mil 80 na zaidi.....

Mbappe awe serious hayupo hata nusu ya Neymar yule wa barcelona, anakazi ndefu sana nje ya mbio sio mzuri anakosa one to one nyingi, hata game na portugal alikosa goli la wazi na Rui patricio.....eti ndio timu itoe paund mil 200 hahahaha
 
Mbappe namuona kama mwanariadha zaidi, hana ufundi sana
 
Mm ningekua kocha nisingempa penalty. Maana kakosa magoal kibao, penalty ndo angepata?

Kocha alijua kabisa leo jamaa hamna kitu
Naona aliogopa lawama za media iwapo angekosa mchezaji mwingine halafu Mbappe hayuko kwa list ya wapigaji ndo maana akamuweka mwisho..kabisa..kujitoa lawama..
Kama kawaambia star wenu huyo kakosa nifanyeje??..
 
Back
Top Bottom