Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,661
Andaa bando sasa mzigo usije ukakata njiani😂😂😂Mkuu naona mzigo uko vzr kbs..yan mda ufike tuView attachment 1848991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaa bando sasa mzigo usije ukakata njiani😂😂😂Mkuu naona mzigo uko vzr kbs..yan mda ufike tuView attachment 1848991
Mimi nawaangalia tu sitak bishana nao nasbr kesho tu mda kama huu tutakua tumekarbia half time ndo wataanza kujua dalili ya coming home au going Rome.Wanajidanganya sana England
Hahah mkuu..hapa nina 3.6Gb iv nahis kbs natoboa nikipata burudan nzr kbs ya Copa America Final leo.Andaa bando sasa mzigo usije ukakata njiani[emoji23][emoji23][emoji23]
Umejipanga mzee, safiii!! Me nataka nijiunge airtel bando la night kwa buku jero napata gb 10, natsream full hd staki utaniHahah mkuu..hapa nina 3.6Gb iv nahis kbs natoboa nikipata burudan nzr kbs ya Copa America Final leo.
Hapo utatumia mb 500 kwa mechi kama utatumia SD lakini kama ni HD hadi GB 1.5 kwa mechi tuu bila kuangalia sherehe za ufunguziHahah mkuu..hapa nina 3.6Gb iv nahis kbs natoboa nikipata burudan nzr kbs ya Copa America Final leo.
Hapo utatumia mb 500 kwa mechi kama utatumia SD lakini kama ni HD hadi GB 1.5 kwa mechi tuu bila kuangalia sherehe za ufunguzi
Muda wa game ukifika wataweka link zote mbili, SD na HD so wewe utachagua HD hapo unateleza tuuMkuu option ya HD inakuaje hapo?,maana nimejipanga nina 9 GB za vodacom[emoji2]
Muda wa game ukifika wataweka link zote mbili, SD na HD so wewe utachagua HD hapo unateleza tuu
Hapo kizaz sana... me tatz airtel sijawah kuwaamin kbs..lbd uko uliko iko poa network..mm natumiaga zantel tu mzigo umetulia kbsUmejipanga mzee, safiii!! Me nataka nijiunge airtel bando la night kwa buku jero napata gb 10, natsream full hd staki utani
Natak ki2 nikiangalie kwny Mngao kbs angavu yan HD..nabid nitoboke tu kama GB 2 na sherehe za ubingwa tukibeba[emoji1033]Hapo utatumia mb 500 kwa mechi kama utatumia SD lakini kama ni HD hadi GB 1.5 kwa mechi tuu bila kuangalia sherehe za ufunguzi
Hapo kizaz sana... me tatz airtel sijawah kuwaamin kbs..lbd uko uliko iko poa network..mm natumiaga zantel tu mzigo umetulia kbs
Yan ndo shida ya zantel nimewapigia sana simu kuwaambia khs kifurush cha usik asee watukumbuke wapakua movie usik.inabid tuendelee kuwalaum wajue tunahitaj sana kifurush hchoNilipo Airtel wapo vizuri sana nashusha sana movie night, ila kwa mchana tuko pamoja Zantel japo natamani nao watuletee kifurushi cha usiku
Jana nimejaribu kujiunga sijaliona chief, maelekezo tafadhari.Umejipanga mzee, safiii!! Me nataka nijiunge airtel bando la night kwa buku jero napata gb 10, natsream full hd staki utani