Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Wajukuu wa #Benito musolin
Wenye mizuka ya Leonardo Da vinc Leo tupo kazini na kazí yetu huwq ni ya kipekee ndio maaña
Wakaiita #Italianjob💪🏿
Tunajua Ile timu ya malkia inabebwabebwa Sana
Mechi zoote 6 wamechezea uwanja wao wa Wembley kimsingi hawq jamaa wanatafutiwa kombe 😠😠😠 na hii fainali eti wamepeleka Wembley duuh🙆🏿‍♂️

Anyways tutapambana mpaka dunia itujue wazee wa Counter attack na style yetu ya Kizamani
The hollyghost here we come forca Italia
Forza Azzurri🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵🔵
 
Wembley muda huu

B20B6AF1-1B1C-4549-B2FD-B6019E7F672F.jpeg
 
Nimeona taarifa jamaa wanapigana wenyewe kwa wenyewe. Wakilikosa kombe ndio watauana wenyewe kwa wenyewe.

Sisi Azzurri hatuna kelele kama za wale shwaigne wa malkia. Tunakimbiza mwizi kimya kimya.
My pridiction 1-0. Italia wanashinda.

Forza Azzurri
 
Kabla ya saa sita usiku tutajua mbivu na mbichi..

England mara nyingi ushindi wake huwa ni wa moja bila..na leo naona wananyanyua kwapa..ndo maana nimepredict hivyo.
Less than two hours remaining, Hawa England wamefika final kimazabe sana. Sioni kina KANE wakitoboa ukuta wa bonucci na chiellini
 
Back
Top Bottom