Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Italy all the way... Huko South America "mission accomplished"...Yaani uingoe fainali afu ubebe ndoo kirahisi wakati wenzako washapoteza fainali kadhaa, leo England mtatusamehe tuu, Forza Italy
Naona uko na Azzuri..hutaki mchezo kabisa.Italy 2-1 England
Mpira ukiisha njoo uje uhakikishe
Hahaha sana mkuuNaona uko na Azzuri..hutaki mchezo kabisa.
Nimeona taarifa jamaa wanapigana wenyewe kwa wenyewe. Wakilikosa kombe ndio watauana wenyewe kwa wenyewe.
Hawa walevi wakishinda leo London haitokalika kwa hilo fujo lake.
Leo cha kike mkuu.My Early Prediction
Italy 0 vs England 1
Kabla ya saa sita usiku tutajua mbivu na mbichi..Leo cha kike mkuu.
Less than two hours remaining, Hawa England wamefika final kimazabe sana. Sioni kina KANE wakitoboa ukuta wa bonucci na chielliniKabla ya saa sita usiku tutajua mbivu na mbichi..
England mara nyingi ushindi wake huwa ni wa moja bila..na leo naona wananyanyua kwapa..ndo maana nimepredict hivyo.