Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
We r back....😁😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mzuri sanaChiesa hana bahati
Si Vjn wa malkia waliamua kupata goal.na kuwaacha Italy wacheze wakitegemea counter sa limerud wachague kucheza mpr au sasa watafungwaaoseh japo siwakubali Italy leo wanacheza mpira mkubwa sana.....
Kishaumana...kesho j3 wamalizane mapema kiukweliGOAL!
#ENG 1-1 #ITA (Bonucci, '67)
#EURO2020
Walikua wanacheza kamari kama game ya Argentina jana sasa ngj walete utan watafungwa kwny 90 minutes.Nilisema hapo kwamba kuna dalili ya goli,sasa hawa England wapaki tena bado,waendelee kuridhika na kucheza kama ni friendly match afu wataona by 90
MkuuuuuNaanza kupata matumaini. Sio kwa pass hizi. Go go gooooooh Azzuri goooooo.
Hao wapika sambusa watagongwa ndani ya 90 ,lazima wacheze mpira na watafute nafasi tena kupitia pembeniMamaeeeeeeeee... [emoji298]
England wakiwaachia Italy watawale mpira kama wanavyofanya, hii mechi itaisha dk 90 tu.
Go Go Go Italy. [emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app