Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hii sura ya kocha imefanana na mwigizaji mmoja wa movie ya action ,kila nikivuta picha sijui namfananisha na nani,,by the way tuachane na hayo Kama ni matuta Italy leo atadaka jini
 
Matuta matamu kuyatizama ila roho mkononi sana
Matuta raha ukiwa neutral usiombe ukawa na team hapo utahis presha inatk kukuua...nakumbuka game ya Argentina X Colombia ilivoenda matuta asee presha ilitk kuniua[emoji23]
 
Hawa Italy uwezo wanao nashangaa mbona wanataka matuta,au wanataka "is coming home iwe "is coming abroad "?
 
Back
Top Bottom