wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Kazi ipo leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matuta matamu kuyatizama ila roho mkononi sanaGame ilipofikia natamani nione matuta
Kwa umr wake huwez mlaum lzm awe ametepeta saiv.Chiellini anaonekana kashaanza kuchoka
Italy wanabahati pia katika matuta.Kawaulize France mwaka 2006 nini kiliwatokea kwenye matuta
Matuta raha ukiwa neutral usiombe ukawa na team hapo utahis presha inatk kukuua...nakumbuka game ya Argentina X Colombia ilivoenda matuta asee presha ilitk kuniua[emoji23]Matuta matamu kuyatizama ila roho mkononi sana
116Dakika ya ngapi?
Bado dk 4 extra time iisheDakika ya ngapi?
Wamechoka, wametumia energy kubwa kutafuta lile goli la kusawazisha.Hawa Italy uwezo wanao nashangaa mbona wanataka matuta,au wanataka "is coming home iwe "is coming abroad "?
Achana na uhai wanaenda kunywa juice ya ukwaju kwenye matutaEngland wamepata uhai baada ya kutolea veratti