Umenichekesha sanamie wallahi ningekua kocha wa holland (van basten ) kwa jinsi navyochukia waitaliano kwa mpira wao wa kizee na ku avoid matatizo bidae ya kukutana na france au italy as hawatakua de same team....mechi ya romania ningepanga kikosi kichekesho like kupanga kina van nistelrooy,kuyt,van persie wao ndo washikilie mikoba yaani wawe mabeki,kipa awe mtu kama robben alafu mbele kule ndo kina van der sar...sio mbaya hata hao makipa wengine nao wakacheza mbele siku hiyo ili mradi tuu romania wa win n ku qualify na holand to the next round.....
Du makubwa!sasa si itatuharibia wengine?thank GOD haitakuwa hivyo!Romania watagalagazwa tu!na France watawafunga Azzuri!mie wallahi ningekua kocha wa holland (van basten ) kwa jinsi navyochukia waitaliano kwa mpira wao wa kizee na ku avoid matatizo bidae ya kukutana na france au italy as hawatakua de same team....mechi ya romania ningepanga kikosi kichekesho like kupanga kina van nistelrooy,kuyt,van persie wao ndo washikilie mikoba yaani wawe mabeki,kipa awe mtu kama robben alafu mbele kule ndo kina van der sar...sio mbaya hata hao makipa wengine nao wakacheza mbele siku hiyo ili mradi tuu romania wa win n ku qualify na holand to the next round.....
Du makubwa!sasa si itatuharibia wengine?thank GOD haitakuwa hivyo!Romania watagalagazwa tu!na France watawafunga Azzuri!
Hahahahaha!acha kabisa kumbuka kukwalifai tu kucheza haya mashindano haikuwa kazi rahisi!leo unatulinganishe tucheze na Taifa stars?jamani acha kuwadharau les bleus kiasi hicho!Bado kuna matumaini ndugu yangu!bila shaka hata mkicheza friendly game na tz mtatoa draw au kuchapwa nw!
wajimini mmekimbilia wapiii??au ndo tuko focused na siasa???naona hata kina "mama" hawaonekani kabsaaa humu tena,hollo uko busy kwenye mission yako ya tetea chenge,kina kana ndo kabsaaa sijui wanataka mpaka arsenal iwemo kwenye euro?!yoyo na wenzio na wengineo wa azzuri ndo kabsaa!!!!
nipo babaaa, sema Mtaalam
naona Austria wamegangamala kweli kweli, ingawa ndio hivyo tena wameshatolewa.
aah mama ujue nao bado wamo wana nafasi ya kupita wakishinda hii tena nafasi yao kubwa kuliko poland as gd yao ni nzuri zaidi!
aah mama ujue nao bado wamo wana nafasi ya kupita wakishinda hii tena nafasi yao kubwa kuliko poland as gd yao ni nzuri zaidi!
Eeh hapo sijui watarusha shilingi?sasa wajimini nina kaswali ka mpira kidooogo nataka majibu ya wataalam wa mpira haswaa...
itakuaje pindi timu mbili ambazo zilitoa draw zilipokutana zikalingana points,magoli ya kufunga na kufungwa?!?kigezo gani kitatumika kumweka mmoja juu??!!
kwa mfano austria washinde kwa mabao mawili kwa moja,alafu poland nao washinde mbili bila kwa wacroatia!!
kigezo gani kitafuata?!!
Yaani Austria ikishinda leo sijui kama watalala, yaani ni kama vile Taifa Stars ingeifunga Cameroun. Kila la heri kwa co-host
Eeh hapo sijui watarusha shilingi?