***Euro2008***


wacha watolewe hao Fra, wamejiachia mno!
 
Wadachi wanaendelea kuwanywesha machungwa wapinzani, wala hawana ubia na Nchi yeyote, wamesha pachika kimoja. Nilipenda Italy watolewe lakini...
 
Klaas Jan Huntelaar kawapatia waholanzi bao la kwanza so mpira ni moja bila ...mechi zikiisha hivi italy ndo wanapita n they wil have to play next match bila gattuso wala pirlo pale kati kwa yellow cards zao!!!
 
italy wanapata bao la pili kupitia daniel de rossi!!!france bye byeeeeeeee
 
wacha watolewe hao Fra, wamejiachia mno!

yaani walijiachia kupita maelezo as if sio timu yenye uzoefu wa mashindano makubwa bana....as if ni tz wameenda world cup!!!hata upangaji wa timu since first game watu wengi hata wafaransa wenyewe walilalamikia mnoooo!!!
nadhani ndio mwisho wa kibarua cha kocha wao!!!na kustaafu kwa wachezaji wengine wengi!!!
 
italy wanapata bao la pili kupitia daniel de rossi!!!france bye byeeeeeeee

waende yaani mdebwedo kabisa hao Fra, sijui walikunywa urojo kabla ya match, na kadi nyekundu ndio imewamaliza kabisa.
 
Haya jamani wandugu, Ndio hivyo tena Netherlands na Italy wanaingia QF, na mtanange hapo jumapili utakuwa kati ya Spain na Italy, na jumamosi itakuwa ni Netherlands na mshindi wa pili kati ya Russia na Sweden hiyo kesho.

Till then.
 
jamani wana wa Azzuri hingereni sana sisi les bleus tunasema that is football!
 


Sorry bad boys ... ... ... ooops good boys ... ....



http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/euro_2008/article1303452.ece
 
i love Italy Vs. Espana game... prediction Espana 3 Italy 0
 
yan hiyo game spain watacheza watakavyo as viungo vya italy vishapwaya...
lets wait n see leo nan ataungana na spain...
ila wadachi wana roho ngumu!!
 
kazi ipo
Germany v/s Potugal
Turkey v/s Croatia
Espagne v/s Italy
Holland v/s?
Nani kuwa bingwa?
Holland labda
 
Watch out now AZURI are back
Spain watatolewa na ITALY
Thanks for Buffon,Pirlo &De Rossi for their perfomance
 
Italy ni watu wa MIPANGO(FITNA) kwenye mechi kubwa wanadeal ni KEY PLAYER wa timu pinzani
1.Unakumbuka Canavaro alivyomgonga HENRY kwenye fainali ya World Cup 2006 tangu hapo Henry akawa kama amechanganyikiwa baadae MATERAZI akamchokoza ZIDANE na Zizou akamtwanga kichwa na kupewa red card game ikawa nyepesi na wakashinda
2.Jana ZAMBROTA kamvaa RIBERY ,ikabidi akatolewa baadae ABIDAL kamvuta TONI ikawa penati na red card game ikawa nyepesi kwao
Watch out SPAIN usije kushangaa siku hiyo TORES/VILA naumizwa mapema baadae PUYOL anapewa red card
AZURI hao wanapeta
 
AZZURRI wachokozi sana halafu wanajiangusha angusha!labda wataweka record na wao ya kuchukua kombe la dunia na euro cup!kama walovyofanya the bleus 1998,then euro cup 2000.Ila Azzuri ni mahandsome kusema ukweli
 
Mpira ndio unaanza sasa kwenye hiyo last eight, wachovu wasioweza na wale wote walioingia kwa bahati bahati washaondoka, bado tu Russia leo jioni......Safari ya Spain nasikitika sana itaishia mikononi mwa wataliano, nilisema hapa kwamba you can never write off a world champion, hawa jamaa ni matajiri wa bahati pia- kitu ambacho ni kitu muhimu if you stand a chance of winning any trophy. I never doubted the Azzuri's ability to bounce back from their Holland humiliation and now watch them going all the way again.
 
Hollo siku zote nimekuwa niki assume kuwa wee ni dume? Au ndio ndio unajidai mende?
Umekuwa ukiassume!ila kuassume kwako hakukuwa sahihi!na kwa nini umekuwa ukiassume kuwa mimi ni dume?
 
Umekuwa ukiassume!ila kuassume kwako hakukuwa sahihi!na kwa nini umekuwa ukiassume kuwa mimi ni dume?

Najua dada zetu wa kibongo na mpira ni sawa na kibaka na polisi, kama u mdada kweli ntashangaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…