***Euro2008***

22 June 2008 Spain meant to lose the game again!!!

pole sana, sizitaki mbichi hizi au ni dua la kuku. Anyway thats a game, the sadest, toughest, and unfair part of it is that THERE MUST BE A WINNER.
 
pole sana, sizitaki mbichi hizi au ni dua la kuku. Anyway thats a game, the sadest, toughest, and unfair part of it is that THERE MUST BE A WINNER.
The 22nd June Curse on Spain obviously didn't work this time around!! lazima kuna tambiko wamefanya pahala hawa wala tortilla!!
 
Ngoma ikishaenda kwenye tutas you cant afford to miss two penalties! Wachezaji wa Italy waliokuwa suspended im sure wangefanya vizuri kwenye penati, ndio maana naendelea kusisitiza kuwa pamoja na kucheza mpira mzuri, bahati nayo ni decisive factor, am broken heart again and I would rather stick to my Russia- Turkey final.
 
Anyway thats a game, the sadest, toughest, and unfair part of it is that THERE MUST BE A WINNER.

Always...and that is the rule. The winner takes it all.
 


Hongera Spain poleni watoto wa AZURI - Mwaka huu mmechemsha.
 


Hongera Spain poleni watoto wa AZURI - Mwaka huu mmechemsha.

Kama wafaransa, na hawa pia wanahitaji kuwatosa wazee wajenge timu mpya ya vijana wadogo. And of course- sack the manager!
 
Credit to Spain but if Pirlo & Gatuso played we have won the game
 
Sasa ni Russia tu ndo mabingwa mwaka huu. Ni timu peke yake ambayo inashambulia na kulinda kwa umakini zaidi!
 
Mi maneno yenu yoteee hapo juu.... sina mbavu, stori za kuzima TV basi mimi mawazo yangu niko peke yangu kumbe tupo wengiii..duuuu!!, nikiwa peke yangu basi hio ndio tabia yangu, ila sasa sheshe linapokuja upo na wenzio hata hiyo Remote sijui utaanzia wapi kuishika...penalty ndo usiseme,,CL final zile penalty zinachapwa mimi niko chooni.

Nafikiri in short huu ni mwaka wa shetani kwangu, yaani kila team ninayo i-support basi inaaga mashindano, asa nimebakia kuwa ''international observer'', mi kazi yangu macho tuu, BP sizitaki..!

Wale wa kutabiri basi jamani uwanja ni wenu!!
 
Lets me ask you this, plz tuwe Honest..!!, Did any of us was thinking that SF final teams...Germany, Russia, Spain, na Turkey watafika hapa?

As far as am concerned BIG NO!!
 
POLE sana manda do football ukizingatia lazima mshindi apatikane
 
POLE sana manda do football ukizingatia lazima mshindi apatikane

Asante!!, ila nawe pole vilevile ''coz nimegundua hata wewe mwenzangu kila team uliyokuwa unai-endorse basi ilikuwa inaangukia pua!!, karibu kwenye jukwaa la ''NAP-Non Alignment Part''
 
BP za nini? Mi nangoja mpira unaisha ndipo natafuta timu ya kuisupport!
Timu zinazoanza vizuri, zinamaliza vibaya and vice versa. Hadi sasa aliyefanya vema kwenye makundi na bado yupo ni Spain pekee...
 
Last edited:
BP za nini? Mi nangoja mpira unaisha ndipo natafuta timu ya kuisupport!
Timu zinazoanza vizuri, zinamaliza vizuri and vice versa. Hadi sasa aliyefanya vema kwenye makundi na bado tupo ni Spain pekee...
Du wewe sikuwezi!Hongera sana kwa hili!
 
Du wewe sikuwezi!Hongera sana kwa hili!
Kwa mfano Mkuu ungekuwa shabiki wa Czech siku walipotangwa na Uturuki si ingekua balaa........ Msipende magonjwa msiyokua nayo....
 
Kwa mfano Mkuu ungekuwa shabiki wa Czech siku walipotangwa na Uturuki si ingekua balaa........ Msipende magonjwa msiyokua nayo....
Mukulu Roya!
Mapenzi na timu fulani yanakuja naturaly ndugu yangu!kwa mfano mimi nilijikuta naipenda France hiyo ndo timu yangu ya kwanza!baada ya kutolewa niliumia sana kwa kweli sikufichi.Nikabaki na my other teams ambazo na zenyewe nazipenda mfano Holland nayo ikatolewa!du sasa nimebakiza Spain!Germany siipendi kabisa!
Hivyo basi mapenzi na timu fulani yanakuja naturaly!
Asante
Hollo
 
Mkuu hawa Germany kama huwapendi unaweza kuumia sana....unajua baada ya kupigwa bao na Crotia wamekaza buti kwelikweli.
Halafu kuhusu naturalization ya ushabiki hata mimi ninayo, ila not that much kwa timu za taifa za Ulaya....Holland was (somehow) my natural choice! Hayo ya kusubiri mechi iishe nilikua natania!
 
Hizi National Teams nawaachia nyie Mie ni Red Devilian mpaka kufa...I support Brazil kisiri siri tangu France 98....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…