22 June 2008 Spain meant to lose the game again!!!
pole sana, sizitaki mbichi hizi au ni dua la kuku. Anyway thats a game, the sadest, toughest, and unfair part of it is that THERE MUST BE A WINNER.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
22 June 2008 Spain meant to lose the game again!!!
The 22nd June Curse on Spain obviously didn't work this time around!! lazima kuna tambiko wamefanya pahala hawa wala tortilla!!pole sana, sizitaki mbichi hizi au ni dua la kuku. Anyway thats a game, the sadest, toughest, and unfair part of it is that THERE MUST BE A WINNER.
Anyway thats a game, the sadest, toughest, and unfair part of it is that THERE MUST BE A WINNER.
![]()
Hongera Spain poleni watoto wa AZURI - Mwaka huu mmechemsha.
POLE sana manda do football ukizingatia lazima mshindi apatikaneMi maneno yenu yoteee hapo juu.... sina mbavu, stori za kuzima TV basi mimi mawazo yangu niko peke yangu kumbe tupo wengiii..duuuu!!, nikiwa peke yangu basi hio ndio tabia yangu, ila sasa sheshe linapokuja upo na wenzio hata hiyo Remote sijui utaanzia wapi kuishika...penalty ndo usiseme,,CL final zile penalty zinachapwa mimi niko chooni.
Nafikiri in short huu ni mwaka wa shetani kwangu, yaani kila team ninayo i-support basi inaaga mashindano, asa nimebakia kuwa ''international observer'', mi kazi yangu macho tuu, BP sizitaki..!
Wale wa kutabiri basi jamani uwanja ni wenu!!
POLE sana manda do football ukizingatia lazima mshindi apatikane
Du wewe sikuwezi!Hongera sana kwa hili!BP za nini? Mi nangoja mpira unaisha ndipo natafuta timu ya kuisupport!
Timu zinazoanza vizuri, zinamaliza vizuri and vice versa. Hadi sasa aliyefanya vema kwenye makundi na bado tupo ni Spain pekee...
Kwa mfano Mkuu ungekuwa shabiki wa Czech siku walipotangwa na Uturuki si ingekua balaa........ Msipende magonjwa msiyokua nayo....Du wewe sikuwezi!Hongera sana kwa hili!
Mukulu Roya!Kwa mfano Mkuu ungekuwa shabiki wa Czech siku walipotangwa na Uturuki si ingekua balaa........ Msipende magonjwa msiyokua nayo....
Mkuu hawa Germany kama huwapendi unaweza kuumia sana....unajua baada ya kupigwa bao na Crotia wamekaza buti kwelikweli.Mukulu Roya!
Mapenzi na timu fulani yanakuja naturaly ndugu yangu!kwa mfano mimi nilijikuta naipenda France hiyo ndo timu yangu ya kwanza!baada ya kutolewa niliumia sana kwa kweli sikufichi.Nikabaki na my other teams ambazo na zenyewe nazipenda mfano Holland nayo ikatolewa!du sasa nimebakiza Spain!Germany siipendi kabisa!
Hivyo basi mapenzi na timu fulani yanakuja naturaly!
Asante
Hollo