Hamna timu kabisa sijui age nayo kigezo,wamechoka kweli kama wamefingiwa weight miguuni.Na Mutu atawapiga lingine......lakini sio siri, Italia hawatishi kama vile miaka ya nyuma,...
Hao hao wasubiri kapu lao keshoHahahaha! sio kama Taifa stars?
Jamani babu si thuram na makelele tu?kuna Titi bado wamo kabisa huyo ingawa ni babu na leo atacheza leo kwa kweli tunamtegemea sanahivyo vibabu kuvipunguzA speed wadachi....sijui!!!wala sidhani ila nisingeweza weka hela yangu kwao as sintoshangaa wakitolewa leo