***Euro2008***

***Euro2008***

Zambrotta kawauwa Azuri...wamekandamizwa cha kwanza 55mins
 
Romania wameshajipatia kimoja, kazi ipo kwa vigogo wa soka
 
leo ni leo Azzuri wana bahati kweli!safari ilianza kuwakumba!
 
lakini sio siri, Italia hawatishi kama vile miaka ya nyuma,...
 
Azzuri wanacheza kiwango kama cape Verde vile!
 
yan ngoma balaa!!wanted to thank zambrota kwa bonge la assist la kichwa...sijakaa vizuri kibabu mwenzie wa miaka 35 in which kwa waitaliano timu yao nadhani ndo avg age yao kawasazawishia!!
 
lakini sio siri, Italia hawatishi kama vile miaka ya nyuma,...
Hamna timu kabisa sijui age nayo kigezo,wamechoka kweli kama wamefingiwa weight miguuni.Na Mutu atawapiga lingine......
 
hivyo vibabu kuvipunguzA speed wadachi....sijui!!!wala sidhani ila nisingeweza weka hela yangu kwao as sintoshangaa wakitolewa leo
Jamani babu si thuram na makelele tu?kuna Titi bado wamo kabisa huyo ingawa ni babu na leo atacheza leo kwa kweli tunamtegemea sana
 
si wakakosaaaa vibabu vina bahatiiii vilikua vishafungashwa viragooo!buffon kawaaokoa!
 
Umri mbaya sana Azzuri wanakimbiza na Romania wepesi sana.....
 
haya angalaaau wamejitwalia kajipoint kao ka kwanza jamaniii bado wanajikongoja mkiani na shikamoo jazz wenzao france!!
 
Bora umekwisha hakuan soka lolote walilocheza....TUwasubiri France watakapochapwa an Ned
 
Players of the game are goal keepers, they have done extremely well.
 
Back
Top Bottom