Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Natamani sana kuona France ikichapwa na Holland ili game yao na Italy iwe ya kufa mtu, itakuwa ni winner gets all! Waromania nadhani wakijitahidi sana wanaweza kuambulia draw against Netherland, I cant see them winning.
kana ukumbuke wadachi wakiwachapa hawa wafaransa watakua na point sita mabazo ni assurance wamequalify na pia ni point ambazo haziwezi fikiwa na timu yeyote in dis grp so mechi ya mwisho na romania they wont have to put pressure ambayo yaweza lead to players wao kuwa suspended au injured,hence romania wakatake advantage nakuwin in which wud b bye bye to hivo vizee without even kutry sikilizia matokeo yao cz romania wud b havin point 5 in which si italy wala france wataweza fikia na uzee wao!
Waholanzi si mchezo!kweli hii EURO 2008 watu wamajiandaa bwana si mchezo!
Nipo na les bleus ndugu yangu!du yaani hapa mpaka kieleweke!bado tuna matumaini hatujafungasha bado mavalise!maana les bleus wakimbamiza Azzuri na romania akabamizwa na wadutch!Les bleus tutasonga mbele!Hupo na Les Bleus ama umekuwa Oranje? Maana naona sasa hivi ni kichapo tuu....