***Euro2008***

***Euro2008***

russia si wanaongoza...nilisema mie hollo!!!!lets wait n see.......
 
oops wasweden wamegonga mwamba...sijui itakuaje....i want to see sweden go through japo mechi ya wa holanzi iwe nzuri
 
kesho RIBERY FRANK anafanyiwa operation ya mguu wake huko munich na daktari wa timu yao ya buyern munich na hatacheza for one month!hawa azzuri wabaya sana!
 
russia wamepata bao la pili....looh sweden bye bye...but lets wait mpira wadumda sweden jus nid a draw
 
holland russia
portugal germany
italia huspania
croatia turkey
habari ndo hiyo
 
Warusi wanamtesa Msweden jamani, lakini watakapo pambana na Mdachi watawajua vizuri wazungu...
 
Haya jamani mambo ndio yazidi kunoga, taranta ranta tataaaaa
 
mpira umeisha sweden r out kina larson sijui na mizee mingine yao yooote ndo bai baii kwenye mipira ya kimataifaaaa wanastaafu!!!!
hiddink huyoo kaingia next round huyu jamaa sijui ndugu yake nanihiiiiii.....hollo usimaind ni vijimambo tu!
 
holland russia
portugal germany
italia huspania
croatia turkey
habari ndo hiyo

yan mie natabiri hao in red ndo wanaendelea mbele kazi iko kwenye hiyo mechi moja tu maana haitabiriki!!
 
"Total football" ya kocha mholanzi Guus Hiddink imeonekana na Russia wanacheza mpira mzuri sasa.

Kwa hio kutakuwa na mpira wa kusisimua katia ya Russia na Holland.
 
Wadachi they did it again!! ooops warusi. kocha mdachi aifikisha rusia kwenye robo fainali.

Hivi Bongo zile pesa za mafisadi situngemleta huyu Hiddink akaja kutukweza kipaji chetu cha soka.
Namkumbuka huyu mdachi ndie aliyewahi kuifikisha south korea kwenye kombe la dunia nakufikia robo fainali kipindi kile.

Nakumbuka pia mwaka wa 2006 aliifanikisha timu ya wa Australia[kangaroos] kwa mara ya kwanza kwenye history kushiriki kombe la dunia nakufikia raundi kadhaa kama sio robo fainali.

Huyu mdachi kila anachogusa kinakuwa gold
Respect Guus Hiddink, ila itakua mchanganyiko kwa Hiddink wakati timu yake itakapopambana na Holland nchi yake. je wadachi wakitinga goli atashangilia au atakua anafurahi kisirisiri?
 
si ndo maana mie mwanzoni nikasema huyu kocha sijui ana kismati au ndo vichenge vyamsaidia??aliifikishakaga hata psv mbali kinoma kwenye champs league..
 
Leo nimeamini kwamba ni kweli- neno consistency hali exist kabisa kwenye ulimwengu wa soccer. Jinsi ambavyo Warusi walikuwa destroyed na Spain, na jinsi ambavyo Sweden waliwatoa kamasi Spain, leo kulikuwa na mshindi mmoja tu kwenye game ya Russiav Sweden lakini mmmhhhh......Sorry Russia fans if at all mpo, I got it wrong- understandably why I hope.
 
To me its obvious FINAL itakuwa kati ya Christian Ronaldo Vs Vander sar...Big phili vs Van Basten
 
haya wale wapenzi wa kabumbu la kweli leo ndio leo...baada ya kama saa limoja tutarajie shuhudia mpambano wa kweli kweli germany na portugal...hata sijui pa kuweka shilingi yangu kwa mechi hii ila i can tabiri a hot game!!!
 
Balack an Frngs wanaweza kuwahimili Petit na wenzake pale kati? ila ujerumani wanabana sana nao...ngoja tuone
 
lol leo kazzi ipo.....jerumani wanapata kamoja dak ya 22 pande toka wingi ya kushoto kwa podoshki na shwanzitega akaweka kimiani....
 
Back
Top Bottom