pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Ukiona mwananchi wa kawaida akipinga mahakama hii basi ni uendawazimu unamsumbua! Hii mahakama inapingwa TU na watawala wasiofuata katiba, 'wanahujumu' maisha ya wengine, wasio watenda haki,