The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Nonsense
View: https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m-• Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari....
• Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored...
• Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua kuwa Dr Emmanuel Nchimbi ni subscriber wa mtandao wa App ya SIGNAL ambao unaaminika kuwa ndiyo mtandao salama ktk mawasiliano ya Siri...
• Signal ni tofauti na Telegram au WhatsApp ambapo mawasiliano yake hayana usiri kwa kuwa rahisi kuwa hacked au kuingiliwa...
• Hili limewashitua sana Team Abdul na Samia. Wako kwenye mtafaruku...
♦️♦️Msikilize vizuri Evarist Chahali katika audio video hiyo♦️♦️
Source: JasusiTV
Yaache yamalizane

NAn sasa mafala wako wawiliUyo fala tu anamtumikia kikwete
Kwa Nini usikilize mawasiliano ya mtu?Uko wapi uhuru wa faragha?Tarehe 12 January ajiandae maandamano makali yenye moto wa nyika hadi atajuta kujipachika urais wakati watu hawamtaki.Jamaa niliacha kumfollow huko Instagram baada ya kujua ni kiazi,anasema alikua TISS, recruitment ya ovyo kabisa
Mawaziri tu wanajua kuwa wanasikilizwa mawasiliano yao, itakua makamu wa rais
Clinton alikua anambandua Lewinsky ofisi ya rais,video zake zipo japo hazikutolewa hadharani,anayeaminiwa sana ndiye anayefuatiliwa sanaKwa Nini usikilize mawasiliano ya mtu?Uko wapi uhuru wa faragha?Tarehe 12 January ajiandae maandamano makali yenye moto wa nyika hadi atajuta kujipachika urais wakati watu hawamtaki.
Wapumbavu wakubwa nyie. Hamna akili au mnajizima data?Itakuwa ni jambo jema Kama watavurugana wao Kwa wao.Maana huyu kenge katuulia watanganyika wenzetu mamilioni na mamilioni siku ya 29)10/2025. Na akae akijua kuwa siku ya mapinduzi ya zanzibar tarehe 12/1/2026 watanganyika tutafanya maandamano nchi nzima kumfukuza huyu dikteta jike.
Hizo ni propaganda zenu za miaka yote
View: https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m-• Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari....
• Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored...
• Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua kuwa Dr Emmanuel Nchimbi ni subscriber wa mtandao wa App ya SIGNAL ambao unaaminika kuwa ndiyo mtandao salama ktk mawasiliano ya Siri...
• Signal ni tofauti na Telegram au WhatsApp ambapo mawasiliano yake hayana usiri kwa kuwa rahisi kuwa hacked au kuingiliwa...
• Hili limewashitua sana Team Abdul na Samia. Wako kwenye mtafaruku...
♦️♦️Msikilize vizuri Evarist Chahali katika audio video hiyo♦️♦️
Source: JasusiTV
Ya mo29 ulibeza nini kilitokea?Unyumbu tu huo..
Hv tunaandamana lini?