Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

Akili hana anajifanya kapita TISS anasahau kuwa Tiss pia moja ya oparation zao ni kuwa feed wanaharakati taarifa za uongo kulingana na wanachotaka ku achieve hata mange wamekuwa wakim feed habari za kuposha ndio zimefanya sasa hata baadhi ya wafuasi hawamuamini

Kwenye intelligence kuna vitu vifuatavyo
Psychological Operations (PSYOP / PSYOPS)

Counterintelligence deception / controlled disinformation leak.

Sasa TISS gani mjinga huyo hajui analishwa matango
 
Maandamano ya humu Jamii forum, huko nje ukitoa pua yako utasababisha jamaa zako wakodi turubai walitundike hapo nyumbani.
 
Awamu hii hatutakuwa wanyonge.
Watu wamegundua upuuzi unaoambatana na kinachoitwa maandamano. Hawataki kupoteza maisha yao wenyewe wala kuona ndugu au marafiki zao wakiaga dunia kwa faida ya wanaharakati wanaoishi huko US au UK.

Kijana wa mtaani afe kwa malipo ya shilingi 50,000 halafu Mange, Maria au Habil avute dola laki tano tena akiwa kakaa tu kwenye chumba fulani mbele yake anayo laptop au simu ya kisasa!.
 
Kwanini hayo yote usiyafanye wewe unawasukumia wenzio? Wewe sio mtanzania,au waliouawa wewe hawakuhusu?
Tarehe 29 nchi nzima ilipata msiba wa kitaifa,wewe kama haukuhusu kaa kimya
 
Hizo ni propaganda zenu za miaka yote
Viongozi wetu pigeni kazi tunawaamini sana ndo maana tuliwapigia kura
Wenzio wanajua hadi yanayofanyika vyumba vya ikulu wewe kazi yako ni kulipwa pesa ya mlo wa siku ulete propaganda bora ungefanya hata kazi ya kuuza mkund ingekuingizia pesa kuliko uchawa wewe kilamba mavi wa Kahaba muuaji..
 
Duuh
 
Wenzio wanajua hadi yanayofanyika vyumba vya ikulu wewe kazi yako ni kulipwa pesa ya mlo wa siku ulete propaganda bora ungefanya hata kazi ya kuuza mkund ingekuingizia pesa kuliko uchawa wewe kilamba mavi wa Kahaba muuaji..
Sasa Mimi mambo ya ikulu niyajue ya nini? Ondoa hyo mentality ya kufatilia ishu za watu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…