Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

Jamaa niliacha kumfollow huko Instagram baada ya kujua ni kiazi,anasema alikua TISS, recruitment ya ovyo kabisa
Mawaziri tu wanajua kuwa wanasikilizwa mawasiliano yao, itakua makamu wa rais
Basi kama huyu wa hovyo, kaa ukijua sampoli hii wapo wengi huko kitengoni, ndio wanamlisha matango pori bosi wako kasuku.
 
Pale anaposema TISS inachukuwa maelekezo kutoka kwa Abdul ndipo huwa natilia shaka vyanzo vyake.
Mimi aliposema hivyo na kudai Abdul kaingiza silaha ndiyo zikitumika,nikaacha kumfollow,nikajiuliza anafanya kusudi akitaraji kuingiza kingi wajinga au kweli anaamini hivyo
 
Clinton alikua anambandua Lewinsky ofisi ya rais,video zake zipo japo hazikutolewa hadharani,anayeaminiwa sana ndiye anayefuatiliwa sana
Upewe dhimma ya nchi usifuatiliwe!?
Hakuna sextape yoyote ya Clinton na Monica.
Kuna ushahidi wa gauni tu lililodondokea manii ya huyo mzee.
Monica alitunza gauni liwe souvenir.
 
Kwa Nini usikilize mawasiliano ya mtu?Uko wapi uhuru wa faragha?Tarehe 12 January ajiandae maandamano makali yenye moto wa nyika hadi atajuta kujipachika urais wakati watu hawamtaki.
Samahani mkuu, ina maana tumeshindwa kutambua na kukubali kuwa sikukuu za kitaifa ni ngumu kufanya maandamano kwa sababu pamoja na mengine yote usafiri wa umma unakuwa ni kama umesitishwa?! Kwa nini maandamano yasifanyike siku yoyote ya kazi?
 
LA HASHA! SI UUNGWANA, UKAUE MTOTO WA POLISI KISA POLISI KAUA NDUGU ZENU KWA NINI MSIWAWINDE WAO, HAO WATOTO HAWANA HATIA MKUU
 
Sasa kwanini hawaelewani
Wataacha vipi kuelewana wakati wote wapo madarakani bila ridhaa ya wananchi?

Mada za kipuuzi puuzi kama hizi sijui watu huwa wanaziokota wapi?

Nchimbi kama haelewani, au haaminiwi na huyo Samia, kwa nini ang'ang'anie kuwemo kwenye serikali FEKI na anayojuwa haaminiki. Kwani kashikiliwa na mtu kubaki humo?

Ni hivi: wooote waliokubali kwa hiari yao uteuzi wa nafasi yoyote ndani ya utawala huu; wote ni washiriki katika kuangamiza taifa hili.
Tusianze kupeana visababu visivyokuwa na maana.
Hawa wote ndio wanaompa faraja Samia na Genge lake lote kuendelea kuwaumiza waTanzania.
 
Napenda sana kukubaliana na maandishi yako hapa kuhusu hawa 'TISS'; ila inapofika kwenye swala la wao kuwa mali ya Samia Suluhu Hassan, sifa zote hizo ulizowamwagia zinakuwa hazina maana yoyote.
TISS wanaoshiriki katika kuondoa roho za waTanzania namna ile; hizo "PSYOP" na matakataka mengine yote hayana maana yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…