Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome Biblia yako vizuri,you are spiritually blind.Israel unayozungumzia wewe sio hii ya Natanyahu,hii ya Natanyahu inaongozwa na kinacuoitwa Sinagogi la Shetani.Soma Ufunuo 2:9 (Ufunuo 2:9 Najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita Wayahudi lakini si Wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake Shetani. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.) na 3:9(Ufunuo 3:9 Sikiliza! Nitawapeleka kwako watu wa kundi lake Shetani, watu ambao hujisema kuwa ni Wayahudi, kumbe sivyo, ila wanasema uongo. Naam, nitawapeleka kwako na kuwafanya wapige magoti mbele yako, wapate k | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.)Jinsi wanavyoendelea kupambana na Israeli ndivyo wanavyoendelea kupukutika. Kama enzi zile za mfalme Ahasuero kwenye Biblia kitabu cha Ester. Haman alipotaka kuuwa wayahudi, akaishia kunyongwe yeye. Mfalme Ahasuero alikuwa ni wa Persia ambaye leo ndio Iran🤔. Soma Biblia kitabu cha Esta Sura ya 3
Kwenye hii vita walikufa Waisraeli 165 na Walebanon 1,300.Watu gani walikufa zaidi? 🤔Kapigwa na hizbullah 2006 israel akaomba pooh na kusalimu amri anapigika vizuri sana sana.
Kumuua rais siyo kazi ngumu sana inapofanywa na nchi nyingine ...swala lengo lao la kisiasa litatimia ....nikama urussi ingetaka kumuua Zelensky wangesha fanya hivyo toka kitambo kabla ya kuweka mafichoni na USAKama ni hivyo basi Israel ni hatari ya kuogopa.
Sawa wewe mwenye pepo mchafu unaogopa bibila🤔Biblia inahusika vipi hapo? Muwe mnaacha ujinga wenu vitandani mkiamka.
Huoni sababu umefumba macho usione 🤔Huu uzwazwa hamuuachi!?
Mbona Hizbollah kila siku wanaua huko Israel Kaskazini mbona hatuoni wakipukutika!?
Aiseeee!Ukiendekeza udini lazima uwe popoma.
Tupe ushahidi mkuu.Taarifa zote zinasema kwamba walikuwa wanaiva sana.Na hata kama walikuwa hawaivii,angesubiri tu amuondoe kwenye presidential candidates,mbona yeye ndiye anaye-nominate.Wewe unacho jaribu kufanya hapa ni kuficha uovu wa Israel na Marekani,hamna kingine.Taarifa za ndani zinaleta uvumi kuwa huwenda "Ayatollah" kahusika.
Ila sio Iran.
Khomenei na Ebrahim hawakuwa vizuri
Pole sana kama fikra zako hapo ndipo zilipoishia.Huoni sababu umefumba macho usione 🤔
🙄🙄🙄🙄Bro uko serious!?Tupe ushahidi mkuu.Taarifa zote zinasema kwamba walikuwa wanaiva sana.Na hata kama walikuwa hawaivii,angesubiri tu amuondoe kwenye presidential candidates,mbona yeye ndiye anaye-nominate.Wewe unacho karibu kufanya hapa ni kujaribu kuficha uovu wa Israel na Marekani,hamna kingine.
Ndio maana wanajiita taifa teule la Mungu.A great operation leaves no traces hata ile ya kuweka conspiracy kuwa inawezekana labda hio ndio ila hii ambao hadi sisi wa kwa mtogole tunasifu kuwa ni hivyo basi hamna kitu hapo
Hitra mbona aliwanyonga balaaJinsi wanavyoendelea kupambana na Israeli ndivyo wanavyoendelea kupukutika. Kama enzi zile za mfalme Ahasuero kwenye Biblia kitabu cha Ester. Haman alipotaka kuuwa wayahudi, akaishia kunyongwe yeye. Mfalme Ahasuero alikuwa ni wa Persia ambaye leo ndio Iran[emoji848]. Soma Biblia kitabu cha Esta Sura ya 3
Unajua nani alienda kuomba ceasefire? Kasome report ya vita hii ipo american army forces library kila kitu kipo wazi watakwambia nani alidunda hadi akaenda kuomba ceasefire UNKwenye hii vita walikufa Waisraeli 165 na Walebanon 1,300.Watu gani walikufa zaidi? 🤔
Wataalam wa vita vya kwenye keyboard huwa mnajua kukichafua sana kuliko hao walio ground. Sijui wao huwa wanafeli wapi hadi washindwe kukinukisha kama ninyi!Lets wait and see what iranian investigationa akiwa na russia expert wata conclude kwa weather satellite sio hizo tu Russia na hata hao wairan wanazo tuone wataconclude ni nini na kama itagundulika ni assasination definately its going to be a war it doesnt matter ni mmarekani au ni muisrael its war or unless iwe president for president you kill ours we kill yours ndio iwe equalizer la sivyo middle east will burn so as the israel na usa bases na mapuppet wao.
Ila hii haiwezekani kwa Raisi alikuwa amebakisha miezi tu mwakani ni uchaguzi ayatollah anaweza kutumia ila assembly of experts yenye watu 89 kumkata asigombeee tena uraisi bila kufanya hivi ,labda kama kuna uhafidhina na pia kwa nchi ya kiislamu kama iran mambo ya kufanyiana assasination wao kwa wao hawana hayo wale ni waadilifu kwa misingi ya dinj yao na ndio maana despite vikwazo taifa na hali ya maisha ya watu ni nzuri uadilifu wa misingi ya dini ndio umeweza kuwafikisha mbali hapo walipk la sivyo kwa vita na fitina za nchi za magharibi basi wangekuwa wamekumbwa na fate kama ya Gaddafi na Saddam kimsingi religion ndio protection ya taifa lao strategically hata ukiwapeleka vizuri vyote vya umagharibi hawawezi kuasi dni yao wakavifuata na ndio hapo regime imeshikilia misingi hio imeweza na kuendelea kuongoza .Taarifa za ndani zinaleta uvumi kuwa huwenda "Ayatollah" kahusika.
Ila sio Iran.
Khomenei na Ebrahim hawakuwa vizuri
Ukweli huu unapingwa na watu walioiona Israeli kuwa si lolote machoni pao. Israeli hawafai......Kama ni hivyo basi Israel ni hatari ya kuogopa.