Kasome Biblia yako vizuri,you are spiritually blind.Israel unayozungumzia wewe sio hii ya Natanyahu,hii ya Natanyahu inaongozwa na kinacuoitwa Sinagogi la Shetani.Soma Ufunuo 2:9 (
Ufunuo 2:9 Najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita Wayahudi lakini si Wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake Shetani. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.) na 3:9(
Ufunuo 3:9 Sikiliza! Nitawapeleka kwako watu wa kundi lake Shetani, watu ambao hujisema kuwa ni Wayahudi, kumbe sivyo, ila wanasema uongo. Naam, nitawapeleka kwako na kuwafanya wapige magoti mbele yako, wapate k | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi.)
Halafu niwakumbushe hasa ninyi mnaojiita Evangelicals,hii Israel mnayoipigia chapuo, sio ile Israel Mungu anayoikusudia.Hii ya sasa imeundwa na akina Rothschild through the Balfour Declaration(
Balfour Declaration - Wikipedia)
kwa kujiingiza kwa hila katika mpango wa Mungu wa kuwarudisha wana wa Israel katika Taifa lao.Naomba mkumbuke kwamba kila wakati Israel Mungu alipokuwa anawarudisha Nabii ndiye aliyekuwa anahusika.Sasa Israel kurudi 1948,Nabii yupi alihusika?Jibu ni hakuna,Shetani ameteka mpango wa Mungu,lakini bado Mungu hajawarudisha Wairael,kwa hiyo tunasubiri mpango huo wa Mungu.Yote yanayoendelea sasa kwenye inayoitwa Israel ni utapeli, ikiwa ni pamoja na kujenga hekalu lao juu ya the Dome of the Rock:msikiti mkubwa kabisa duniani kote, na kumsimika Mpinga Kristo humo.
Labda nikupe homework mkuu.Hivi waliokuwa wanaoitwa Waebrania leo wako wapi?Kumbuka hata Bwana Yesu mwenyewe ni Mwebrania.