Ewe Allah! Wape nusra ndugu zetu wa palestina

Ewe Allah! Wape nusra ndugu zetu wa palestina

Cha kushangaza hao Mazayuni wamezungukwa na nchi za Kiarabu pande zote! Lakini kwa miaka nenda, wanaangalia tu kwa macho uonevu wote wanaofanyiwa hao Wapalestina! Tangu wapigwe kwenye vita walivyo kurupuka vya 1956, 1967, na 1973! Wamepoteana kabisa! Hakuna cha Arab League, wala nini!

Yaani ni Iran pekee ndiyo inajitutumua kupitia misaada yake ya siri ya kijeshi kwa Herzibollah ya Lebanon na pia Hamas! Nchi kama Saudi Arabia ndiyo kwanza iko busy kunyonga wananchi wake tu kwa makosa ya kufikirika!

Pasipo kuungana kupambana na Mazayuni, mtaishia tu kutoka machozi kama yale ya samaki. Mwisho wa siku hayo machozi yote yatakwenda na maji.
Umeeleweka mkuu
 
Nacho mkubali mu israel yeye huwa analipa wakati huo huo mkirusha maroketi anajibu siku inayofuata kwa shambulizi la nguvu la ndege harembi wala kusamehe.
Wakati Yoshua anaambiwa akifika nchi ya kanaani aangamize wale wote ataowakuta, yeye hakuwaangamiza wote.

Hili jambo likamuudhi Mungu aliyewatoa nchi ya Misri. Mungu akamwambia Yoshua, imekuaje mkawaacha hao niliowaambia muwangamize?

Mungu akawaambia wana wa Israel ya kuwa, HAO MLIOWAASHA WATAKUWA NI KAMA MWIBA KWENU KATIKA MAISHA YENU YOTE.

Kwahiyo Israel inatambua kuwa hili ni jambo lilianzoa rohoni, na hakuna namna yoyote ambayo wanaweza wakaonesha huruma kwa maadui zao zaidi ya kuwaangamiza tu, na kwao hili ni HAKI sababu walishapewa mamlaka na nguvu za kuwaangamiza.

Asikwambie mtu mkuu, Israel itaendelea kuwapasua saaaana hizo jamii za kiarabu. Na hili suala tutaona ni kama Israel anawaonea au mkatili, ila hili ni jambo la Rohoni.

Toka miaka na miaka, jamii za kiarabu hazijawahi kufua dafu mbele ya wayahudi.
 
Hiyo sala/jumbe imenikumbusha ubishi wa nabii Eliya na manabii wa Baali (1 Wafalme 18:21-27): Labda Allah aitwe kwa sauti kuu maana ni mungu huyo, Au Allah anamazungumzo, Au Allah amesafiri, Au Allah amelala sharti aamshwe awasaidie wa Palestine
Haya maneno yalikuwa ni mwiba kwa manabii wa baali walioongozwa na Yezebeli. Mwisho wa siku Eliya aliwaua wote.
 
Wataondokaje kwao, Israel waliotawanyika duniani kwa zaidi ya miaka 2000,then wanarudishwa na USA kwa mgongo wa UN mwaka1948, wanatakiwa kuishi pamoja wakubaliane kukubali kutokubaliana.[emoji2320]
Utaratibu ule ule uliotumika kuwaondoa ndio huo huo wanautumia kurudi.
 
Wale ni ndugu zangu katika imani, ulitaka nianzishe mada ya wale ndugu zako wacongo na anti balaka sio!!
Kwani hujui hao wacongo ni waafrica wenzako?,acha unafiki Palestine kamwe hawezi kuwa ndg yako
 
Haya maneno yalikuwa ni mwiba kwa manabii wa baali walioongozwa na Yezebeli. Mwisho wa siku Eliya aliwaua wote.
Mungu wa Eliya aliupiga mwingi,Bahati bukuku anaisimulia hii kwa uzuri na kumpa sifa nabii eliya katika wimbo wake wa AHABU,,Lakini funga kazi ni wimbo wa christopher mwahingila-Mungu ni Mungu Tu;
 
Waondoke kwenye ardhi yao!!, basi middle east uote hawana haki ya kuishi pale, mwenye haki ni myahudi pekee sio!!

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
120 Al-Baqarah
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ يَتْلُونَهُ حَقَّ تِلَاوَتِهِ أُولَٰئِكَ يُؤْمِنُونَ بِهِ ۗ وَمَنْ يَكْفُرْ بِهِ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْخَاسِرُونَ
121 Al-Baqarah
Wale tulio wapa Kitabu, wakakisoma kama ipasavyo kusomwa, hao ndio kweli wanakiamini. Na wanao kikataa basi hao ndio wenye kukhasiri.

إِنَّ اللَّهَ مَعَ الصَّابِرِينَ
153 Al-Baqara
Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanao subiri.

ألمسلم أخو المسلم kama ulikua hujui

إِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ إِخْوَةٌ فَأَصْلِحُوا بَيْنَ أَخَوَيْكُمْ ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ
149 Al-Baqara
Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe.
Utake usitake, upende usipende wale ni ndugu zetu

Wale ni ndugu zetu, tunawapenda kwa ajili ya Allah.
Wapende tu na shobo zako ila hawakukubali wala nini wanatumikisha midada yako huko kama mbwa.

Alafu usiwe unaniandikia lugha ambazo hazipo kwenye mitaala ya Tanzania
 
Wanapaswa waache kutumika kuvuruga Israel, wakubali kuishi kwa amani na Waisraeli, ila sasa mizuka yenu ya kidini kutwa mabomu na hamtaki mjibiwe...
 
hivi Allah wenu huwa hasikii tangu muanze kumuomba? mnaonaje mkibadilisha aina ya mungu ili mumuamini Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo, yaani Mungu wa Israel ajibuye kwa moto! mmesahau mabaali walivyoomba kwa mungu asiyejibu hadi wakajichinjachinja, lakini Eliya alipomuomba Mungu Israel kufumba na kufumbua majibu yalishuka. jueni leo hii ya kuwa hakuna Mungu mwingine duniani wala mbinguni ila Mungu wa Israel ambaye pia huwezi kumuona ila kwa kupitia imani kwa JIna la Yesu Kristo. hizo miungi yingine na manabii wengine hawaokoi na hawatawasaidia.
 
Mungu wetu tunatemuabudu ni Allah mwenye hekima na mwenye kurehemu ..ametuasa waislamu kuhusu subira mwenyezi mungu anasema wote wenye kusubiri wapo karibu nae na vile vile ametuasa tusikate tamaa kwakuwa yeye anayajua sisi tusiyoyajua na alipangalo yeye ndio uwa aya mateso wanayoyapitia ndugu zetu palestina ni ya muda mfupi tu yataisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo ni mungu asiyejibu, angelikuwa ana uwezo wowote angeshajibu zamani sana. mkimbieni mmwamini Mungu wa kweli, Mungu wa Ibrahim Isaka na yakobo, Mungu wa Israel.
 
Back
Top Bottom