Ewe Allah! Wape nusra ndugu zetu wa palestina

Ewe Allah! Wape nusra ndugu zetu wa palestina

Wa Palestine ni wavamizi wa maeneo husika. Na kibaya ni wale wa dini za kifilisti na waisrael wa dini ya Ibrahimu kiasi kwamba hawa wafilisti wanaona wayahudi mashetani yanapaswa yafe yote na wayahudi nao wanaona wafilisti ni mashetani wafe wote
Kwanini wate hurueya watu kila mara
 
Hao Mazayuni ni wavamizi. Hata ungekuwa ni wewe ukavamiwa na mtu nyumbani kwako, katika eneo lako! una haki ya kujitetea.

Na kama utanyamaza na kumuacha afanye chochote anachotaka, basi hata watoto wako watakudharau.
Ukisoma katika biblia utajua kuwa wapalestina ndio wavamizi...hiyo nchi ilikua niya wayahudi kabla hawajaenda misri..walipotoka misri ndio kurudi wakawakuta hao mafilisti.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom