jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
mungu dhaifu ambaye anahitaji wanadamu wampiganie kwa kujilipua..huyo mungu keshafeli unganeni na Mungu wa wayahudi muenjoy maisha.Mungu wetu tunatemuabudu ni Allah mwenye hekima na mwenye kurehemu ..ametuasa waislamu kuhusu subira mwenyezi mungu anasema wote wenye kusubiri wapo karibu nae na vile vile ametuasa tusikate tamaa kwakuwa yeye anayajua sisi tusiyoyajua na alipangalo yeye ndio uwa aya mateso wanayoyapitia ndugu zetu palestina ni ya muda mfupi tu yataisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
La sivyo ndugu zako wapalestina wataisha wote..wakimlilia mungu alifeli.
#MaendeleoHayanaChama