Wa Palestine ni wavamizi wa maeneo husika. Na kibaya ni wale wa dini za kifilisti na waisrael wa dini ya Ibrahimu kiasi kwamba hawa wafilisti wanaona wayahudi mashetani yanapaswa yafe yote na wayahudi nao wanaona wafilisti ni mashetani wafe wote
Ukisoma katika biblia utajua kuwa wapalestina ndio wavamizi...hiyo nchi ilikua niya wayahudi kabla hawajaenda misri..walipotoka misri ndio kurudi wakawakuta hao mafilisti.