Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kuna Chemistry hapa naiota Kila kukicha
Nikweli ni kijana, ila Uongozi ni AKILI , huyu mtu kawekeza sana Muda wake, Akili yake, Kwa masuala mapana yenye masilahi na Nchi .
Ewe DOLA, inawezekana Kuna walamba Asali wamejipenyeza mpaka huko ndani.
Ila DOLA, Kwa kunionea huruma tu Nchi hii, na Watanzania wake , Tuleteeni watu jamani.
Kilo ya maharage 4000!!
Ewe Dolla, tunagawiwa mitungi ya gesi buree lkn Kuijaza Gesi Hiyo ni shughuli na familia yenyewe Ina watu 10!!
Ewe DOLA, tunapigwa za usoni na changalamacho mchana kweupeeeee.
Ewee DOLA, tusiongozwe Sababu ni jinsia ya Kike !!. Uongozi sio jinsia !!.
Ikiwapendeza Ewe DOLA, ninaamini 100% CCM inawategemea, Wala Nyinyi hamuwategemei Kwan Nyinyi ndio mliosimama juu ya vilindi vinne vya Nchi hii!!
Ombi langu kwenu DOLA, 2025, fanyeni jambo, watu washangae .
Mpina
Gwajima
Majaliwa
Hawa watu hawaaa ni Magufuli yuleyule ,Hawa watu ndio Wanaweza kutufikisha Nchi ya Ahadi !!