Ewe DOLA, ikikupendeza 2025, Tuleteeni Luhaga Mpina

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Kuna Chemistry hapa naiota Kila kukicha

Nikweli ni kijana, ila Uongozi ni AKILI , huyu mtu kawekeza sana Muda wake, Akili yake, Kwa masuala mapana yenye masilahi na Nchi .

Ewe DOLA, inawezekana Kuna walamba Asali wamejipenyeza mpaka huko ndani.

Ila DOLA, Kwa kunionea huruma tu Nchi hii, na Watanzania wake , Tuleteeni watu jamani.

Kilo ya maharage 4000!!

Ewe Dolla, tunagawiwa mitungi ya gesi buree lkn Kuijaza Gesi Hiyo ni shughuli na familia yenyewe Ina watu 10!!

Ewe DOLA, tunapigwa za usoni na changalamacho mchana kweupeeeee.

Ewee DOLA, tusiongozwe Sababu ni jinsia ya Kike !!. Uongozi sio jinsia !!.

Ikiwapendeza Ewe DOLA, ninaamini 100% CCM inawategemea, Wala Nyinyi hamuwategemei Kwan Nyinyi ndio mliosimama juu ya vilindi vinne vya Nchi hii!!

Ombi langu kwenu DOLA, 2025, fanyeni jambo, watu washangae .

Mpina
Gwajima
Majaliwa

Hawa watu hawaaa ni Magufuli yuleyule ,Hawa watu ndio Wanaweza kutufikisha Nchi ya Ahadi !!

Hii nchi mumeidharau sana. Yaani ametoka kichaa mwaka 2021 na mnataka kuleta kichaa mwingine kutoka Kolomije??

Hilo haliwezekani, na hata wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
 
Ikiwapendeza Ewe DOLA, ninaamini 100% CCM inawategemea, Wala Nyinyi hamuwategemei Kwa Nyinyi ndio mliosimama juu ya vikundi vinne vya Nchi hii!!

Sawa,atakuwa Rais wenu wasukuma,
 
Hii nchi mumeidharau sana. Yaani ametoka kichaa mwaka 2021 na mnataka kuleta kichaa mwingine kutoka Kolomije??

Hilo haliwezekani, na hata wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
ahahaha
 
Aisee, kuna mambo ukisikia na ukakosa ufafanuzi, masikio yanakuwa yanawasha.
 
Kwa ukhanithi aliofanya magu hatutakaa turudie kosa kama lile. Kama mmedanganyana kuwa magu alikuwa anakubalika basi mmeukalia.
 
Sio sisi tu, Bali mwenye Sifa thabiti, uthubutu , Haki, Maono ,Mzalendo a k.a mfia Nchi ,mtu wakunitoa Muhanga kwaajili ya wengi japo atachukiwa na wahuni , Mwenye Hofu ya Mungu .
Inaonekana unamfahamu sana huyo jamaa.
Hadi kumpa sifa zote hizo.
 
Ombi lako litajibiwa Kwa mmoja kati ya hao 3 uloomba atateuliwa kumrithi aliyepo.

Na hii itakuwa ni baada ya mnyukano mkubwa, anaweza akahamia upinzani au akabaki, bt ni Yeye Ajaye.

Your wish will be granted. Ameeeeen.
 
Hii nchi mumeidharau sana. Yaani ametoka kichaa mwaka 2021 na mnataka kuleta kichaa mwingine kutoka Kolomije??

Hilo haliwezekani, na hata wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
hahaha... alimtumia MLEVI mmoja pale Dodoma ati anapima samaki kwa rula baadae akaja kumpa cheo
yaani mpina awe raisi wa nchi? serious wazee
kwa hiyo kama kilo ya maharage inauzwa 4500/= yeye atafanyaje ili yashuke? twambie hapo
 
Hii nchi mumeidharau sana. Yaani ametoka kichaa mwaka 2021 na mnataka kuleta kichaa mwingine kutoka Kolomije??

Hilo haliwezekani, na hata wana Kisesa hawatampa kura mtu aliyekuwa anawachomea nyavu na kupima urefu wa samaki. Luhaga Mpina afe tu ili akaungane na kichaa mwenzie Magufuli huko kuzimu
Utakufa wewe utamuacha
 
Kuna Chemistry hapa naiota Kila kukicha

Nikweli ni kijana, ila Uongozi ni AKILI , huyu mtu kawekeza sana Muda wake, Akili yake, Kwa masuala mapana yenye masilahi na Nchi .

Ewe DOLA, inawezekana Kuna walamba Asali wamejipenyeza mpaka huko ndani.

Ila DOLA, Kwa kunionea huruma tu Nchi hii, na Watanzania wake , Tuleteeni watu jamani.

Kilo ya maharage 4000!!

Ewe Dolla, tunagawiwa mitungi ya gesi buree lkn Kuijaza Gesi Hiyo ni shughuli na familia yenyewe Ina watu 10!!

Ewe DOLA, tunapigwa za usoni na changalamacho mchana kweupeeeee.

Ewee DOLA, tusiongozwe Sababu ni jinsia ya Kike !!. Uongozi sio jinsia !!.

Ikiwapendeza Ewe DOLA, ninaamini 100% CCM inawategemea, Wala Nyinyi hamuwategemei Kwan Nyinyi ndio mliosimama juu ya vilindi vinne vya Nchi hii!!

Ombi langu kwenu DOLA, 2025, fanyeni jambo, watu washangae .

Mpina
Gwajima
Majaliwa

Hawa watu hawaaa ni Magufuli yuleyule ,Hawa watu ndio Wanaweza kutufikisha Nchi ya Ahadi !!

Ahadi ya Chato na Sukuma gang.
 
Back
Top Bottom