Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #21
Asante kwa ku summarize mkuu, anaye elewa na aelewe."Ewe usiye na ajira kwa sasa, kumbuka kwamba kutokuwa na kazi hakupunguzi elimu yako wala uwezo wako wa kufikiri. Endelea kujifunza, jitahidi, na tumaini, maana fursa zitakuja tu!"
Mkuu hili swali ana takiwa jobless ali tafakari Kisha aamue, kipi ni bora zaidi.Kama shughuli gani
wanaofika vyuo vya kati na vyuo vikuu usikurupuke kujibu kama hujaelewa au hujasoma vizuriMkuu bado hoja yako Haina mashiko, kwamba kwenye 100 Wanao faulu kwenda sekondari ni 12?
Mkuu, mi mwenyewe ni jobless.Mkuu hili swali ana takiwa jobless ali tafakari Kisha aamue, kipi ni bora zaidi.
Me sijaelewa point yako mkuu mtu hana ajira kama asipo jiajiri afanye ninivijana
kama nyie mnajikunyata kwenye kivuli cha kujiajiri huku maisha yenu yakiwa ni mateso na stress tupu.
jiajiri huku ukiwa kwenye movements ya kudai ajira rasmi mpate bima za afya muwe na family na future ya kueleweka.Me sijaelewa point yako mkuu mtu hana ajira kama asipo jiajiri afanye nini
Mkuu kutumwa si ndio kuagizwa?, kimaadili hata wewe una weza agizwa!.Mkuu umetumwa au
Naam uko sahihi, na ndio nilicho kisema.jiajiri huku ukiwa kwenye movements ya kudai ajira rasmi mpate bima za afya muwe na family na future ya kueleweka.
sio unajiajiri ukiambia ajira hamna una sema eeee ajira zipo eeeee
Hili dogo ni lipumbavu sanavijana wajinga kama nyie bado mpo ambao hamtak mabadiliko mnaish kwa kujifariji
kati ya wanafunzi 100 wanaomaliza form 4 ni wanafunzi 12 pekee ndo wanafika level ya vyuo. vya kati na vyuo vikuu
licha idadi ndogo ya graduates bado serikali imeshindwa kuajiri
vijana
kama nyie mnajikunyata kwenye kivuli cha kujiajiri huku maisha yenu yakiwa ni mateso na stress tupu.
ufisadi ,kukokosa viong wenyw upeo kuna sababisha vijna kukosa ajira. vijana wakirise ,wakianzisha movements wanakutana na vijana sampuli yako ambao technically ni hasara
NaamLawama ziende kwa wananchi wasiotaka kupambana. Na sio serikali.
Hii ni logical fallacy, beside mimi sio dogo mkuu.Hili dogo ni lipumbavu sana
Jau sana wewe!!!Vijana wacheze kamari, kutafuta mitaji.
Yaani Jamaa miyeyusho, eti kamari😁😂Jau sana wewe!!!
Ndio ni wazo zuri ila linakuwa favoured sana kwa watu wenye sifa za kuajiriwa, na lengo ni kuwasaidia vijana wote kujikwamua kiuchumi hata wale walioishia form 2 au waliofeli form four pia na wale ambao ajira zao zina age restrictionjiajiri huku ukiwa kwenye movements ya kudai ajira rasmi mpate bima za afya muwe na family na future ya kueleweka.
sio unajiajiri ukiambia ajira hamna una sema eeee ajira zipo eeeee
Hehehe!!!Yaani Jamaa miyeyusho, eti kamari😁😂
Uko sahihiNdio ni wazo zuri ila linakuwa favoured sana kwa watu wenye sifa za kuajiriwa, na lengo ni kuwasaidia vijana wote kujikwamua kiuchumi hata wale walioishia form 2 au waliofeli form four pia na wale ambao ajira zao zina age restriction