vijana wajinga kama nyie bado mpo ambao hamtak mabadiliko mnaish kwa kujifariji
kati ya wanafunzi 100 wanaomaliza form 4 ni wanafunzi 12 pekee ndo wanafika level ya vyuo. vya kati na vyuo vikuu
licha idadi ndogo ya graduates bado serikali imeshindwa kuajiri
vijana
kama nyie mnajikunyata kwenye kivuli cha kujiajiri huku maisha yenu yakiwa ni mateso na stress tupu.
ufisadi ,kukokosa viong wenyw upeo kuna sababisha vijna kukosa ajira. vijana wakirise ,wakianzisha movements wanakutana na vijana sampuli yako ambao technically ni hasara