Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

Sasa mimi ndiye niliye anzisha chama, why nififishe harakati zangu mwenyewe?
 
Hiki chama nibcha wakoroea? Mngeweka hata avatar wa kibongo ktk hiyo nguo yenu,mzee...
 
min -me hebu na wewe uje useme jambo.
Naunga mkono hoja kingine cha kuongezea, majobless mda mwingine tusikae kizembe sana umaskini una katibia kakujisahau , hivyo mara moja moja sio vibaya kuushtua umaskini kwa kwenda kutembelea sehemu za bata za gharama kubwa , showrooms za magari makali , na store kali za nguo za chapa kali duniani kama gucci , Louis voitton,prada na nk , hata kama hauna hata mia lengo ni kuushtua tu umaskini.

#Katibu wa chama taifa#
 
Hii Wana ita window shopping 😂🔥
 
Huja wahi kumsikia raisi ana sema nyinyi ndio mme nituma?.

hujui tofauti ya kutumwa na kuagizwa?, we mzazi wako una muagiza ehh?
Yupo/Upo sahihi Kiongoz yoyote anayechaguliwa Kwa kura za raia huyo katumwa kuwawakilisha watu.

Hivyo anawatumkia walio mchagua basi walio mchagua ni kama mabosi kwake Kwasababu ndio watakao mlipa Kwa huo utumishi wake.

kumbuka Rais ni leader siyo Manager mzee
 
Haya una elewa na maana ya kuaigiza?.

Maana wewe ume sema una muagiza mzazi wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…