Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

Yaani uwafate viongozi wakupe muongozo?? Viongozi hawahawa waramba asali si ni dakika sifuri wanawachoma au kuwapa maneno ya faraja na kuwatia moyo kua mjiajiri huku wakiwabani mpaka muwarambe miguu.

Kijana usififiishe harakati za majobless waliojitoa kimasomaso kuwatetea wenzao front huku wewe ukijificha nyuma ya fake id.

Katika medani za kijasusi wewe unawekwa kundi moja na kaka yako Lucas Mwashambwa
Sasa mimi ndiye niliye anzisha chama, why nififishe harakati zangu mwenyewe?
 
Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless.

lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu.

01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli mchungu ambao una paswa kuufahamu, namba ya wasomi wasio na ajira ni kubwa sana.

Sio tu kwa nchi yetu hata nchi nyingine bado wana tambua changamoto hii, hivyo hili lielewe kichwani.

02, mikakati mizuri ni bora kuliko maamuzi ya kukurupuka, mi nafikiri kabla ya kuitisha hizi press conference ili paswa kuwasiliana na viongozi baadhi wenye ushawishi kuanzia wachungaji, mashekhe wanasheria na hata viongozi wastaafu.

ili kuweza kupata namna gani bora ya kuwasilisha hoja zetu, tuna fahamu kuwa uongozi ni ngazi hapo uki ulizwa Ume mfikishia nani taarifa uta sema serikali, Sasa serikali haina mawaziri wa elimu?, sekta ya kushughulikia ajira mme wafata?

03, Mikakati ya chama Cha ma jobless pro max ni kuji kwamua kiuchumi, hili ndio lengo haswa la chama Chetu kwa kuunda mipango na Mikakati bora ili kuweza kuwawezesha vijana wawe na unafuu wa maisha.

baada ya kuona hatuwezi kupata ajira wote, he hii namba inayo baki Ina kwenda wapi?.

Endapo chama kki sajiliwa na kikawa na shughuli zenye kuaminika, vijana mna weza kupata hata mikopo.

04, usalama wako ewe jobless ni muhimu, kijana huku uraiani kuna kina wasio julikana kibao wana subiri kuonyesha uwezo wa kazi kupitia raia.

kwanza tunge Soma upepo tuna elekea kwenye uchaguzi, na hata vuguvugu la kumpata kiongozi na Kama ujuavyo wao kufikiria vyema sio kipaji Chao.

Wasije wakaona wewe ni tishio kwao, hivyo makinika.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
View attachment 3251598
Hiki chama nibcha wakoroea? Mngeweka hata avatar wa kibongo ktk hiyo nguo yenu,mzee...
 
min -me hebu na wewe uje useme jambo.
Naunga mkono hoja kingine cha kuongezea, majobless mda mwingine tusikae kizembe sana umaskini una katibia kakujisahau , hivyo mara moja moja sio vibaya kuushtua umaskini kwa kwenda kutembelea sehemu za bata za gharama kubwa , showrooms za magari makali , na store kali za nguo za chapa kali duniani kama gucci , Louis voitton,prada na nk , hata kama hauna hata mia lengo ni kuushtua tu umaskini.

#Katibu wa chama taifa#
 
Hii Wana ita window shopping 😂🔥
 
Huja wahi kumsikia raisi ana sema nyinyi ndio mme nituma?.

hujui tofauti ya kutumwa na kuagizwa?, we mzazi wako una muagiza ehh?
Yupo/Upo sahihi Kiongoz yoyote anayechaguliwa Kwa kura za raia huyo katumwa kuwawakilisha watu.

Hivyo anawatumkia walio mchagua basi walio mchagua ni kama mabosi kwake Kwasababu ndio watakao mlipa Kwa huo utumishi wake.

kumbuka Rais ni leader siyo Manager mzee
 
Haya una elewa na maana ya kuaigiza?.

Maana wewe ume sema una muagiza mzazi wako!
 
Back
Top Bottom