Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
raisi wa ma jobless pro max ni Intelligent businessman, makamu wake ni Bolotoba.

katibu wa chama Cha ma jobless ni min -me, msemaji wa ma jobless pro max ni makutupora .

kidumu chama Cha ma jobless pro max.

majukumu ya katibu min -me

Kuongoza na Kuratibu Shughuli za Chama

1.Kusimamia shughuli za kila siku za chama.

1.Kuandaa na kusimamia mikutano ya wanachama.
  • Kuhakikisha chama kinafuata katiba na malengo yake.

2. Utetezi na Ushawishi


  • Kuandaa na kusambaza maoni ya chama kuhusu ajira na uchumi.
  • Kuwasiliana na serikali, sekta binafsi, na mashirika yasiyo ya kiserikali kutafuta fursa za ajira na uwezeshaji.
  • Kuendesha kampeni za uhamasishaji kuhusu haki za wasio na ajira.

3. Kupanga na Kusimamia Miradi


  • Kutafuta na kuratibu fursa za mafunzo ya ujuzi kwa wanachama.
  • Kuanzisha programu za kusaidia wanachama kujiajiri.
  • Kusimamia miradi ya chama kama vile vikundi vya ushirika au biashara za pamoja.

4. Uhusiano na Wanachama


  • Kuhakikisha wanachama wanapata taarifa muhimu kuhusu maendeleo ya chama.
  • Kupokea na kushughulikia maoni na changamoto za wanachama.
  • Kuratibu uandikishaji wa wanachama wapya.

*****5. Usimamizi wa Fedha na Rasilimali


  • Kusimamia mapato na matumizi ya chama kwa uwazi.
  • Kuratibu mbinu za kutafuta fedha kama vile michango, ada za uanachama, na ufadhili
Kwa hiyo kaka umeona chama kikose mwanasheria 😃😃
 
Mkuu hiyo hoja ya kutafuta fursa za ajira katika serikali na sekta binafsi ifutwe, tutawapoteza wanachama wengi sana. Ikitokea tukakubaliwa nani atakuwa jobless?

Anyway mm ni mtunza hazina wa chama, natunza kumbukumbu tu maan hela hatuna
Mkuu unadhani hata Hawa wakiisha, hao waliopo chuoni si majobless watarajiwaaa?

Wakiwa wengi sana pasipo kupata ajira!

Watatupinduaa ... Tumbo lenye njaa linakubali chochote
 
Back
Top Bottom