Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #301
Kijana elewa cheo hicho kina hitaji mtu makini, sio kila mtu ata weza.Uzuri mtunza hazina hateuliwi anachaguliwa
Hongera miaka 10 unalishwa na kulala bure na mume wa dada yakoMiaka kumi Sina kazi rasmi k@?mke ko nakula kwako au cyo ..
Acha u$$nge mtoto wa getini wewe,mioyo yetu inavuja damu ya machungu mengi huwez kuelewa wewe mtt mayai mayai k$?mke..
Na kuna Sisi ambao tupo kwenye vyama vyote yaani tuna sifa kila sekta😃😃😃Kwahiyo kuna CHAPUTA, JOBLESS PRO MAX na KATAA NDOA
Haya, mkifika kwenye uhitaji wa michango mtanistua kusudi niwachangie ili muweze kukiendeleza chama chenu.
Humu Kuna watu wengi wenye Kila aina ya nafasi na kwa asilimia 90 wangeweza kufuta majobless wa jf na kwingineko lakini naogopa na kusikitika kusema utawafahamu ukisikia wamekufa bila kudhani au kwa ajali. Kwa vile kifo hakifichiki utamjua na ID yake. So sad.ni sawa, ila sisi hatuja omba pole mkuu.
tume unda umoja huu ili kuweka Mambo sawa.
Ahaaa msemaji wetu wa majobless pro max samaleko. Ufanye kazi yako vema raisi awe na kumbukumbu ya members wake😂You
You people are too funny aiseee 😂
Nasubiri teuzi aisee 😋Naomba ulifanya uteuzi mH. Rais unijulishe ili niwatangazie umma
Mnataka niwaletee CV za umakini wangu sasa...Ewe msemaji wa chama Cha ma jobless pro max, makutupora mweleze nguvu ya viongozi wa chama.
Basi sawa.Ndio hivyo, tunaogopa kuoa wanawake wa ndoa wachache balaa
Yaani ni wanachama kotekote aisee😂😂Na kuna Sisi ambao tupo kwenye vyama vyote yaani tuna sifa kila sekta😃😃😃
Ewaaaah nipo hapa Mh. Rais!Kijana elewa cheo hicho kina hitaji mtu makini, sio kila mtu ata weza.
Ewe msemaji wa chama Cha ma jobless pro max, makutupora mweleze nguvu ya viongozi wa chama.
Ntakusemea kwa Rais usijaliiiNasubiri teuzi aisee 😋
Najitahidi kuyatimiza yote kwa wakati, kikubwa uhai tuYaani ni wanachama kotekote aisee😂😂
Sasa huoni kama una majukumu mengi mpwa?
Semaji la chama huna baya😂Ntakusemea kwa Rais usijaliii
Utalamba uteuziii
Hakika hili jambo ni baya sana!U' jobless ni jambo baya sana. Wakati mwingine unawaza sana hadi unakosa majibu, unajiuliza labda kuna sehemu ulikosea. Ukiangalia familia nzima hakuna mtu wa kukusaidia. Ukipata nafasi ya kumsaidia jobless, msaidie tu.
Pia, Asilimia kubwa ya agenda ya KATAA NDOA inachangiwa na ujobless. Hamu ya kuoa ipo, shida ni pale ukijaribu kuangalia hali yako unaona kabisa hautoboi.
Mimi Sina hiyana na mtu!Semaji la chama huna baya😂
Duh! 🤭Najitahidi kuyatimiza yote kwa wakati, kikubwa uhai tu
Ewaaaah nipo hapa Mh. Rais!
Ndugu Smooth Criminal nimeyapokea maoni yako!
Lakini ni muhimu kuzingatia sera za chama na katiba yake!
Ukikidhi vigezo kwa kuwa nafasi hii nyeti sana utaipata!
Ila kumbuka chama Hakina michango Hawa ni jobless
Cc: mzabzabU' jobless ni jambo baya sana. Wakati mwingine unawaza sana hadi unakosa majibu, unajiuliza labda kuna sehemu ulikosea. Ukiangalia familia nzima hakuna mtu wa kukusaidia. Ukipata nafasi ya kumsaidia jobless, msaidie tu.
Pia, Asilimia kubwa ya agenda ya KATAA NDOA inachangiwa na ujobless. Hamu ya kuoa ipo, shida ni pale ukijaribu kuangalia hali yako unaona kabisa hautoboi.