Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??

  • Total voters
    139
Miaka kumi Sina kazi rasmi k@?mke ko nakula kwako au cyo ..
Acha u$$nge mtoto wa getini wewe,mioyo yetu inavuja damu ya machungu mengi huwez kuelewa wewe mtt mayai mayai k$?mke..
Hongera miaka 10 unalishwa na kulala bure na mume wa dada yako
 
ni sawa, ila sisi hatuja omba pole mkuu.

tume unda umoja huu ili kuweka Mambo sawa.
Humu Kuna watu wengi wenye Kila aina ya nafasi na kwa asilimia 90 wangeweza kufuta majobless wa jf na kwingineko lakini naogopa na kusikitika kusema utawafahamu ukisikia wamekufa bila kudhani au kwa ajali. Kwa vile kifo hakifichiki utamjua na ID yake. So sad.

Hapo utajua kwanini tatizo kama Hilo na mengine sugu kwenye jamii hayatokaa kwisha mpk turejee kwenye mioyo ya binadamu.
 
Kijana elewa cheo hicho kina hitaji mtu makini, sio kila mtu ata weza.

Ewe msemaji wa chama Cha ma jobless pro max, makutupora mweleze nguvu ya viongozi wa chama.
Ewaaaah nipo hapa Mh. Rais!

Ndugu Smooth Criminal nimeyapokea maoni yako!

Lakini ni muhimu kuzingatia sera za chama na katiba yake!

Ukikidhi vigezo kwa kuwa nafasi hii nyeti sana utaipata!

Ila kumbuka chama Hakina michango Hawa ni jobless
 
U' jobless ni jambo baya sana. Wakati mwingine unawaza sana hadi unakosa majibu, unajiuliza labda kuna sehemu ulikosea. Ukiangalia familia nzima hakuna mtu wa kukusaidia. Ukipata nafasi ya kumsaidia jobless, msaidie tu.

Pia, Asilimia kubwa ya agenda ya KATAA NDOA inachangiwa na ujobless. Hamu ya kuoa ipo, shida ni pale ukijaribu kuangalia hali yako unaona kabisa hautoboi.
 
Hakika hili jambo ni baya sana!

Linatia msongo wa mawazo!
Linafanya watu kuwa wanyonge!
Linauwa nguvu kazi!

Hakika sisi viongozi wa CHAMA tutajitahidi kadri tuwezavyo kuwasaidia majobless wenzetu pale tutakapoweza.
 
Natambua majukumu yangu msemaji wetu, jukumu langu ni kutunza muda na kumbukumbu tu, pesa hatuna we are jobless.

Anyway, kwenye chaguzi mnimakinikie sana, nimemaliza kampeni zangu
Ewaaaah nipo hapa Mh. Rais!

Ndugu Smooth Criminal nimeyapokea maoni yako!

Lakini ni muhimu kuzingatia sera za chama na katiba yake!

Ukikidhi vigezo kwa kuwa nafasi hii nyeti sana utaipata!

Ila kumbuka chama Hakina michango Hawa ni jobless
 
U' jobless ni jambo baya sana. Wakati mwingine unawaza sana hadi unakosa majibu, unajiuliza labda kuna sehemu ulikosea. Ukiangalia familia nzima hakuna mtu wa kukusaidia. Ukipata nafasi ya kumsaidia jobless, msaidie tu.

Pia, Asilimia kubwa ya agenda ya KATAA NDOA inachangiwa na ujobless. Hamu ya kuoa ipo, shida ni pale ukijaribu kuangalia hali yako unaona kabisa hautoboi.
Cc: mzabzab
 
Back
Top Bottom