Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ko sisi tuna chekelea??, hiyo michongo uta ipata usi jali.Siku nikiona mnapeana michongo badala ya kuchekelea dhiki zenu nitajiunga na chama.
Msimsahau kiben-10 changu Genius Man kwenye uongozi wenu.Mh. Rais naona tumeanza kupata wafadhiliii
Kidumu chama
Dah nipo apo mwenenu sijui mtanitaje ila Nina miaka 9 mtaani ikifka mwez wa 7 mwaka huu nafkisha 10..Umoja huu ni kwa ajili ya ma jobless pro max wote.bila ya kujali umri, jinsia au hata uzoefu.
Lengo ni kumpa nguvu jobless, kumpa moyo na hata ushauri juu ya yale anayo yapitia.
amini usi amini, Kuna vyama vya kutetea na kusikiliza kero na matatizo ya familia, wafanya kazi, Wana michezo.
ila umoja wa ma jobless haupo, ni Kama hawa onekani.
wanacho pata ni kubezwa, kusemwa na hata kuandamwa kwa maneno.
Mimi Intelligent businessman baada ya kukaa na kutafakari, nika ona kwakuwa hatuna pesa, basi hata kusikiliza na kupeana mawazo ya faraja ni bora zaidi.
tuta jadili, semea na hata kuelimisha mambo chungu nzima yali yomo kwenye u jobless.
kauli mbiu ni umoja, upendo na amani.
hakuna michango.
hakuna pesa za bure
hakuna ubaguzi.
tetea haki ya jobless.
kidumu chama Cha ma jobless pro max .
View attachment 3223638
ma jobless pro max Wana julikana, hivyo Kama huji jui. basi una shida.Sifa za mwanachama ni zipi😁😁
Mbona kama chama kipo serious sana 😂😂😂Katibu wa chama cha majobless (wasio na ajira).
1. Kuongoza na Kuratibu Shughuli za Chama
1.Kusimamia shughuli za kila siku za chama.
1.Kuandaa na kusimamia mikutano ya wanachama.
- Kuhakikisha chama kinafuata katiba na malengo yake.
2. Utetezi na Ushawishi
- Kuandaa na kusambaza maoni ya chama kuhusu ajira na uchumi.
- Kuwasiliana na serikali, sekta binafsi, na mashirika yasiyo ya kiserikali kutafuta fursa za ajira na uwezeshaji.
- Kuendesha kampeni za uhamasishaji kuhusu haki za wasio na ajira.
3. Kupanga na Kusimamia Miradi
- Kutafuta na kuratibu fursa za mafunzo ya ujuzi kwa wanachama.
- Kuanzisha programu za kusaidia wanachama kujiajiri.
- Kusimamia miradi ya chama kama vile vikundi vya ushirika au biashara za pamoja.
4. Uhusiano na Wanachama
- Kuhakikisha wanachama wanapata taarifa muhimu kuhusu maendeleo ya chama.
- Kupokea na kushughulikia maoni na changamoto za wanachama.
- Kuratibu uandikishaji wa wanachama wapya.
*****5. Usimamizi wa Fedha na Rasilimali
- Kusimamia mapato na matumizi ya chama kwa uwazi.
- Kuratibu mbinu za kutafuta fedha kama vile michango, ada za uanachama, na ufadhili.
Asante sana ndugu wajumbe , leo nimepokea majukumu yangu kama katibu naahidi kukitumikia chama kwa moyo mmoja 🙏
kivipi sasa, michongo inamsaidia kila mtuje uki mpa mchongo asiye!.
Hatucheki na yeyote mkuu.Mbona kama chama kipo serious sana 😂😂😂
Anakaribishwaa sanaaaaaaMsimsahau kiben-10 changu Genius Man kwenye uongozi wenu.
Ondoa shaka hilo litafanyiwa kazi kwa uzuri mkuu.kivipi sasa, michongo inamsaidia kila mtu
mheshimiwa unatakiwa uelewe vyama vingi vinasambaratika kwa kukosa dira
angalia chama kama CHAPUTA, au KATAA NDOA, havina nguvu kwasababu havina tija!
na havina tija kwasababu havina dira
ukiweza kusaidia vijana basi chama chako kitakuwa chama bora
Imekaa vizuri 😅😅😅Hatucheki na yeyote mkuu.
mshamba_hachekwi Soma hii uta tuelewa.Katibu wa chama cha majobless (wasio na ajira).
1. Kuongoza na Kuratibu Shughuli za Chama
1.Kusimamia shughuli za kila siku za chama.
1.Kuandaa na kusimamia mikutano ya wanachama.
- Kuhakikisha chama kinafuata katiba na malengo yake.
2. Utetezi na Ushawishi
- Kuandaa na kusambaza maoni ya chama kuhusu ajira na uchumi.
- Kuwasiliana na serikali, sekta binafsi, na mashirika yasiyo ya kiserikali kutafuta fursa za ajira na uwezeshaji.
- Kuendesha kampeni za uhamasishaji kuhusu haki za wasio na ajira.
3. Kupanga na Kusimamia Miradi
- Kutafuta na kuratibu fursa za mafunzo ya ujuzi kwa wanachama.
- Kuanzisha programu za kusaidia wanachama kujiajiri.
- Kusimamia miradi ya chama kama vile vikundi vya ushirika au biashara za pamoja.
4. Uhusiano na Wanachama
- Kuhakikisha wanachama wanapata taarifa muhimu kuhusu maendeleo ya chama.
- Kupokea na kushughulikia maoni na changamoto za wanachama.
- Kuratibu uandikishaji wa wanachama wapya.
*****5. Usimamizi wa Fedha na Rasilimali
- Kusimamia mapato na matumizi ya chama kwa uwazi.
- Kuratibu mbinu za kutafuta fedha kama vile michango, ada za uanachama, na ufadhili.
Asante sana ndugu wajumbe , leo nimepokea majukumu yangu kama katibu naahidi kukitumikia chama kwa moyo mmoja 🙏
Umesha anza sera za hujuma??, mbona hampendi umoja!Ila majobless siku hizi ndio wanaongoza kuwa na pesa😅
Wanaandaa mkutano halafu wanaenda kutiaana moyo kwa nini wasitumiane tu sms 😃😃kivipi sasa, michongo inamsaidia kila mtu
mheshimiwa unatakiwa uelewe vyama vingi vinasambaratika kwa kukosa dira
angalia chama kama CHAPUTA, au KATAA NDOA, havina nguvu kwasababu havina tija!
na havina tija kwasababu havina dira
ukiweza kusaidia vijana basi chama chako kitakuwa chama bora
tuone utekelezaji sasaKatibu wa chama cha majobless (wasio na ajira).
1. Kuongoza na Kuratibu Shughuli za Chama
1.Kusimamia shughuli za kila siku za chama.
1.Kuandaa na kusimamia mikutano ya wanachama.
- Kuhakikisha chama kinafuata katiba na malengo yake.
2. Utetezi na Ushawishi
- Kuandaa na kusambaza maoni ya chama kuhusu ajira na uchumi.
- Kuwasiliana na serikali, sekta binafsi, na mashirika yasiyo ya kiserikali kutafuta fursa za ajira na uwezeshaji.
- Kuendesha kampeni za uhamasishaji kuhusu haki za wasio na ajira.
3. Kupanga na Kusimamia Miradi
- Kutafuta na kuratibu fursa za mafunzo ya ujuzi kwa wanachama.
- Kuanzisha programu za kusaidia wanachama kujiajiri.
- Kusimamia miradi ya chama kama vile vikundi vya ushirika au biashara za pamoja.
4. Uhusiano na Wanachama
- Kuhakikisha wanachama wanapata taarifa muhimu kuhusu maendeleo ya chama.
- Kupokea na kushughulikia maoni na changamoto za wanachama.
- Kuratibu uandikishaji wa wanachama wapya.
*****5. Usimamizi wa Fedha na Rasilimali
- Kusimamia mapato na matumizi ya chama kwa uwazi.
- Kuratibu mbinu za kutafuta fedha kama vile michango, ada za uanachama, na ufadhili.
Asante sana ndugu wajumbe , leo nimepokea majukumu yangu kama katibu naahidi kukitumikia chama kwa moyo mmoja 🙏
Usi konde, chama kime kuja kusikiliza na kutatua changamoto zenu.Dah nipo apo mwenenu sijui mtanitaje ila Nina miaka 9 mtaani ikifka mwez wa 7 mwaka huu nafkisha 10..