Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??

  • Total voters
    139
Itifaki Mh. Rais, Itifaki imezingatiwa niwasihi tu vijana kitu pekee kijana jobless anachoweza kumeza bila gharama kubwa ni mate yake mwenyewe

By the way mkuu nipo hapa nasubiri posho Yangu Elfu
3, 000 Taslimu Baada ya kufyeka na kupruni vizuri kwa boss mmoja hapa naomba nimalize kupiga leki na kufagia majani hapa

Msemaji makutupora nilishamwasilishia Leo nimepata 😜kibarua jobless Mwenzenu

Makamu wa majobless Promax BTB
raisi wa ma jobless pro max ni Intelligent businessman, makamu wake ni Bolotoba.

katibu wa chama Cha ma jobless ni min -me, msemaji wa ma jobless pro max ni makutupora .

kidumu chama Cha ma jobless pro max.
 
Imekaa vizuri 😅😅😅
Maono haya aliya beba mwasisi wetu wa chama mheshimiwa Intelligent businessman baada ya kugundua humu jamii forum kuna matajiri watupu , ila kuna kundi dogo la kwetu tuliokua tunasindikiza tu humu.

Hivyo basi ,akaanzisha mpango huu mahususi na kabambe ,ili nasisi tutambulike na tupate taasisi ya kutusemea na kuunda mikakati mbalimbali katika kukabiliana na majungu na ukali wa maisha.
 
Mchongo huu hapa vijana acheni kulia lia😊 au bado mnachagua mishe.
Screenshot_20250131-175335~2.jpg
 
Maono haya aliya beba mwasisi wetu wa chama mheshimiwa Intelligent businessman baada ya kugundua humu jamii forum kuna matajiri watupu , ila kuna kundi dogo la kwetu tuliokua tunasindikiza tu humu.

Hivyo basi ,akaanzisha mpango huu mahususi ili nasisi tutambulike na tupate taasisi ya kutusemea na kuunda mikakati mbalimbali katika kukabiliana na majungu na ukali wa maisha.
Na haya maono yake yanaweza yakabadili taswira na uelekeo wa wana if kwa maana mzani unaweza ukabadilika, kutoka kuwa na kundi kubwa la matariji hadi kuwa na kundi kubwa la majobless... Naomba mnipe kazi ya kutengeneza vitambulisho na mfumo wa kuwasajiri wanachama online kwa maana hapo ndipo mzani utakapoenda kufanya maajabu yake ndugu Katibu 😂😂😂
 
Maono haya aliya beba mwasisi wetu wa chama mheshimiwa Intelligent businessman baada ya kugundua humu jamii forum kuna matajiri watupu , ila kuna kundi dogo la kwetu tuliokua tunasindikiza tu humu.

Hivyo basi ,akaanzisha mpango huu mahususi na kabambe ,ili nasisi tutambulike na tupate taasisi ya kutusemea na kuunda mikakati mbalimbali katika kukabiliana na majungu na ukali wa maisha.
Swali
Kwa hyo mikakati yenu ni ipi ili kuhakikisha chama kinakuwa kikubwa na wanachama wengi😁😁😁
 
Maono haya aliya beba mwasisi wetu wa chama mheshimiwa Intelligent businessman baada ya kugundua humu jamii forum kuna matajiri watupu , ila kuna kundi dogo la kwetu tuliokua tunasindikiza tu humu.

Hivyo basi ,akaanzisha mpango huu mahususi na kabambe ,ili nasisi tutambulike na tupate taasisi ya kutusemea na kuunda mikakati mbalimbali katika kukabiliana na majungu na ukali wa maisha.
naam, bila umoja mambo haya endi.

kidumu chama Cha ma jobless pro max.
 
Na haya maono yake yanaweza yakabadili taswira na uelekeo wa wana if kwa maana mzani unaweza ukabadilika, kutoka kuwa na kundi kubwa la matariji hadi kuwa na kundi kubwa la majobless... Naomba mnipe kazi ya kutengeneza vitambulisho na mfumo wa kuwasajiri wanachama online kwa maana hapo ndipo mzani utakapoenda kufanya maajabu yake ndugu Katibu 😂😂😂
OIG4 (4).jpeg
 
Back
Top Bottom