Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
Barikiwa sanaa😁
Mungu atafanya njia! Tutakovuka hili kiunziiii! wakati ni sahihi.

Mbali u jobless tulionao Bado tunalotumaini kwake! Kwamba yeye si Mungu mwenye choyo.

Ntaanza kufunga na kuomba kwa ajili ya Majobless wenzangu! Maana neno linasema "Kwa namna hii haiwezekani Bali kwa kufunga na kuomba'"
 
Nani anataka mwanaume kapuku usawa huu wa tiktok?
Mie mwenyewe mshangazi lakini napenda pesa na uzee wangu wote huu
then hustle uzi pate, kingine si wengine tusha zoea kuishi normal.

can't spend kwenye mtu, ambaye kitu pekee ana offer ni......
wapo ambao you feel proud hata kumleta nyumbani kwako.
 
Limepita hilo, tukumbushane tuwe wengii.
 
Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…