Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #401
Uli taka niseme Lola 😆😂Kauli mbiu za kijangili kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uli taka niseme Lola 😆😂Kauli mbiu za kijangili kabisa
Mungu atafanya njia! Tutakovuka hili kiunziiii! wakati ni sahihi.Barikiwa sanaa😁
then hustle uzi pate, kingine si wengine tusha zoea kuishi normal.Nani anataka mwanaume kapuku usawa huu wa tiktok?
Mie mwenyewe mshangazi lakini napenda pesa na uzee wangu wote huu
Limepita hilo, tukumbushane tuwe wengii.Mungu atafanya njia! Tutakovuka hili kiunziiii! wakati ni sahihi.
Mbali u jobless tulionao Bado tunalotumaini kwake! Kwamba yeye si Mungu mwenye choyo.
Ntaanza kufunga na kuomba kwa ajili ya Majobless wenzangu! Maana neno linasema "Kwa namna hii haiwezekani Bali kwa kufunga na kuomba'"
Muda si mrefu wanakimbia naingia mzigoniii!Limepita hilo, tukumbushane tuwe wengii.
Kasome sole proprietorship 😆.Mengine utakuja kujisemea mwenyewe
Hiyo nyumba umetoa wapi Rais 😂
Usinipe wakati mgumu wa kukusemea chama na viongozi wake!
Clouds tv wanataka interview hukoo 😂
AmeenMungu atafanya njia! Tutakovuka hili kiunziiii! wakati ni sahihi.
Mbali u jobless tulionao Bado tunalotumaini kwake! Kwamba yeye si Mungu mwenye choyo.
Ntaanza kufunga na kuomba kwa ajili ya Majobless wenzangu! Maana neno linasema "Kwa namna hii haiwezekani Bali kwa kufunga na kuomba'"
Umekatoaaaa wapii kabandaaa? 😂Kasome sole proprietorship 😆.
Sasa nisiwe hata na kabanda ka kukaa 😆🤣
porini si Kuna miti 😆😂Umekatoaaaa wapii kabandaaa? 😂
Amen.Muda si mrefu wanakimbia naingia mzigoniii!
Kusemezana na Muumba ... He can't wait to hear my prayers
Boyyyy! I pray 🙏
Sawa.Experience is a good thing, akili ni ubongo na si mambo ya umri.
Siku nikiwa sawa, nita andika Uzi wa story za harakati hapa na pale.
Kidumu chama Cha ma jobless pro max
Usiku mwemaUmekatoaaaa wapii kabandaaa? 😂
Yes,lola apewe pesa kutwa mara 5Uli taka niseme Lola 😆😂
mpe wewe😆😂Yes,lola apewe pesa kutwa mara 5
Dah kwa hiyo tupige nyetoKabisa.
Sema nini, tafuta kazi kwanza
Wanawake hatuwataki jobless