binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hii imekaa vizuri…. Nilipata wasiwasi na uwezekano wa wewe kuwepo kwenye vyama zaidi ya vitatu, nilitaka nimshawishi shemeji afanye background check kwanza isijekuwa ni li-spy linawachora 😀Atheist hakina chama , hawa ni watu huru tu walioamua kufikiri mambo katika uhalisia wake .
Kataa ndoa mimi sio wanachama kabisa ila ni mpambe tu.
Majobless mimi ni mwana chama mwenye kadi namba tano na kamati kuu ilipendekeza jina langu kama katibu wa chama.
Hii afadhali kidogo! Lakini mbona kuna picha za wahindi watupu hapo wakati sisi ni nywele fupi kama akili zetu? Hapa Tanzania ni muhindi gani jobless au chama kimeasisiwa nje ya nchi na sisi ni tawi la chama toka India?! Machale ya kuingia kwenye ufreemason bado yananicheza ! Waweza kuta freemason wanatafuta watu majobless wawatoe kafara kwakuwa hakuna atakaewatafuta, wakipotea wamepunguza mzigo kwenye jamii hasa familia.basi uta vaa hii
View attachment 3224948
Ndani ya chama kulisha kuwa na uvumi wa namna hiyo ila uchunguzi wa kina ukafanyika ikagundulika ni upotoshaji unaopaswa kupuuzwa na kila mwana jobless family.Hii imekaa vizuri…. Nilipata wasiwasi na uwezekano wa wewe kuwepo kwenye vyama zaidi ya vitatu, nilitaka nimshawishi shemeji afanye background check kwanza isijekuwa ni li-spy linawachora 😀
Wait! Lakini hiki chama mbona kama kina watu smart hivi?Ndani ya chama kulisha kuwa na uvumi wa namna hiyo ila uchunguzi wa kina ukafanyika ikagundulika ni upotoshaji unaopaswa kupuuzwa na kila mwana jobless family.
Smart kivip?Wait! Lakini hiki chama mbona kama kina watu smart hivi?
Akili mtu wangu!Smart kivip?
Mhm mbona sijaona akiliAkili mtu wangu!
Majobless pia wanakula isingekua wanakula wangekuwa marehemu .Kama mtu ana kabiashara kake anapatia pesa za kula na kujikimu, huyo naye ni jobless?
Bado hujajibu hoja hata kidogo, nahutaji kujua pesa za kuendesha maisha hayo kama uliyotaja, mnazipata wapi?Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
Bado hujajibu hoja hata kidogo, nahutaji kujua pesa za kuendesha maisha hayo kama uliyotaja, mnazipata wapi?Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
Nmejibu kwa swali lako jingine soma tena.Bado hujajibu hoja hata kidogo, nahutaji kujua pesa za kuendesha maisha hayo kama uliyotaja, mnazipata wapi?
Dah Kuna watu hamuamini kabisa kama mtu anaweza kukosa kaziAcha uongo, kama huna kazi unakula nini na hela ya Kodi unapata wapi?
Ondoa shaka shemeji, tuna chukua vijana walio wazalendo na wenye mitazamo yenye kujenga.Hii imekaa vizuri…. Nilipata wasiwasi na uwezekano wa wewe kuwepo kwenye vyama zaidi ya vitatu, nilitaka nimshawishi shemeji afanye background check kwanza isijekuwa ni li-spy linawachora 😀
Oya Kuna deal nime kutag, angalia ka una weza. Kisha mpigie fundi.Dah Kuna watu hamuamini kabisa kama mtu anaweza kukosa kazi
aisee una huko ni kuingilia faragha ya mtu. Kwani licha ya kuwa ma jobless tuna haki zetu eboo!Bado hujajibu hoja hata kidogo, nahutaji kujua pesa za kuendesha maisha hayo kama uliyotaja, mnazipata wapi?
hapo kwenye magari uta haribu ewe katibu😂😁Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
Nimelewa mwenyekiti naomba kwa leo nirudishe microphone 😆hapo kwenye magari uta haribu ewe katibu😂😁
yaani ustaafau au?Nimelewa mwenyekiti naomba kwa leo nirudishe microphone 😆
haya uta vaa hii, ewe mwanachama wa ma jobless pro maxHii afadhali kidogo! Lakini mbona kuna picha za wahindi watupu hapo wakati sisi ni nywele fupi kama akili zetu? Hapa Tanzania ni muhindi gani jobless au chama kimeasisiwa nje ya nchi na sisi ni tawi la chama toka India?! Machale ya kuingia kwenye ufreemason bado yananicheza ! Waweza kuta freemason wanatafuta watu majobless wawatoe kafara kwakuwa hakuna atakaewatafuta, wakipotea wamepunguza mzigo kwenye jamii hasa familia.
Maji ya ugali lazima yapunguzwe baada ya jobless kupotea kwenye familia.