Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??

  • Total voters
    139
Atheist hakina chama , hawa ni watu huru tu walioamua kufikiri mambo katika uhalisia wake .

Kataa ndoa mimi sio wanachama kabisa ila ni mpambe tu.

Majobless mimi ni mwana chama mwenye kadi namba tano na kamati kuu ilipendekeza jina langu kama katibu wa chama.
Hii imekaa vizuri…. Nilipata wasiwasi na uwezekano wa wewe kuwepo kwenye vyama zaidi ya vitatu, nilitaka nimshawishi shemeji afanye background check kwanza isijekuwa ni li-spy linawachora 😀
 
Hii afadhali kidogo! Lakini mbona kuna picha za wahindi watupu hapo wakati sisi ni nywele fupi kama akili zetu? Hapa Tanzania ni muhindi gani jobless au chama kimeasisiwa nje ya nchi na sisi ni tawi la chama toka India?! Machale ya kuingia kwenye ufreemason bado yananicheza ! Waweza kuta freemason wanatafuta watu majobless wawatoe kafara kwakuwa hakuna atakaewatafuta, wakipotea wamepunguza mzigo kwenye jamii hasa familia.
Maji ya ugali lazima yapunguzwe baada ya jobless kupotea kwenye familia.
 
Ndani ya chama kulisha kuwa na uvumi wa namna hiyo ila uchunguzi wa kina ukafanyika ikagundulika ni upotoshaji unaopaswa kupuuzwa na kila mwana jobless family.
 
Kama mtu ana kabiashara kake anapatia pesa za kula na kujikimu, huyo naye ni jobless?
 
Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
Bado hujajibu hoja hata kidogo, nahutaji kujua pesa za kuendesha maisha hayo kama uliyotaja, mnazipata wapi?
 
Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
Bado hujajibu hoja hata kidogo, nahutaji kujua pesa za kuendesha maisha hayo kama uliyotaja, mnazipata wapi?
 
Hii imekaa vizuri…. Nilipata wasiwasi na uwezekano wa wewe kuwepo kwenye vyama zaidi ya vitatu, nilitaka nimshawishi shemeji afanye background check kwanza isijekuwa ni li-spy linawachora 😀
Ondoa shaka shemeji, tuna chukua vijana walio wazalendo na wenye mitazamo yenye kujenga.
 
Bado hujajibu hoja hata kidogo, nahutaji kujua pesa za kuendesha maisha hayo kama uliyotaja, mnazipata wapi?
aisee una huko ni kuingilia faragha ya mtu. Kwani licha ya kuwa ma jobless tuna haki zetu eboo!
 
Kaka haimaanishi kwamba majobless hawali hawavai hawana pa kulala na kuna majobless wengine wamefikia mbali zaidi wanaendesha hata magari mazuri , na mtu ambae hali chakula havai wala kuishi huyo sio jobless ni marehemu.
hapo kwenye magari uta haribu ewe katibu😂😁
 
Hii afadhali kidogo! Lakini mbona kuna picha za wahindi watupu hapo wakati sisi ni nywele fupi kama akili zetu? Hapa Tanzania ni muhindi gani jobless au chama kimeasisiwa nje ya nchi na sisi ni tawi la chama toka India?! Machale ya kuingia kwenye ufreemason bado yananicheza ! Waweza kuta freemason wanatafuta watu majobless wawatoe kafara kwakuwa hakuna atakaewatafuta, wakipotea wamepunguza mzigo kwenye jamii hasa familia.
Maji ya ugali lazima yapunguzwe baada ya jobless kupotea kwenye familia.
haya uta vaa hii, ewe mwanachama wa ma jobless pro max
OIG4.jpeg
 
Back
Top Bottom