binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Hii imekaa vizuri…. Nilipata wasiwasi na uwezekano wa wewe kuwepo kwenye vyama zaidi ya vitatu, nilitaka nimshawishi shemeji afanye background check kwanza isijekuwa ni li-spy linawachora 😀Atheist hakina chama , hawa ni watu huru tu walioamua kufikiri mambo katika uhalisia wake .
Kataa ndoa mimi sio wanachama kabisa ila ni mpambe tu.
Majobless mimi ni mwana chama mwenye kadi namba tano na kamati kuu ilipendekeza jina langu kama katibu wa chama.