Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

Ewe jobless usijione mnyonge au kukosa furaha, ndugu zako tuko hapa

je chama kina faa na kina umuhimu??


  • Total voters
    139
nashauri Donald C. J Trump apewe uraisi wa heshima [kama ule wa Mo kwa simba] maana kachangia pakubwa kuongeza wanachama idadi wapya kwa muda mfupi.
 
Salama sana ndugu raisi, nikiwa kama waziri wa mambo ya ndani wa chama chetu cha majobless pro max.

Nipende kuwakaribisha kwenye chama ndugu Selikavu pamoja na Edo kissy niwaambie tu karibuni sana lakini team yangu itaendelea kuwafanyia uchunguzi ili tujiridhishe zaidi na utiifu wenu na unyenyekevu kwaajiri ya maendeleo ya chama chetu.😂😂😂
Tunakuahidi waziri wa mambo ya ndani wa majobless pro max
 
Back
Top Bottom