Ewe Jobless usiwahi haribu au katisha maisha yako kisa changamoto yoyote

Naam kidumu chama Cha ma jobless pro max
 
 

Attachments

  • Chugganation_20231003__1709154888020529299_1_16366281064075550730.mp4
    250.9 KB
Maisha yamebadilika sana kwasasa. Kama unasubiri ajira unaweza kufikisha miaka 60 na bado hakuna ajira kwasabb uhitaji ni mkubwa sana. Leo ikitoka kazi ya watu 100, watakaomba hiyo kazi itakuwa watu 20,000. Je, wewe hapo utapata kazi?
Pesa haipatikani kwenye kazi moja tu uliyosomea. Wewe mhitimu, fungia vyeti vyako hama mkoa na ukajichanganye huko. Beba zege, fanya vibarua upate mtaji ufanye biashara itakayokuingizia hela.
 
Mkuu ume elewa kilicho zungumziwa?, hapa nime zungumzia afya ya akili na maamuzi mzee.
 
Hili andiko limenyooka sana na nimeipenda hiyo namba moja na nimeichukua kama ilivyo.

Lakini pia niseme tu ya kwamba mapambano yaendelee pasipo kutegemea huruma za watu wengine ndio zije kukuokoa kwenye dimbwi la matatizo yako.

Lakini pia tujue ya kwamba safari ni hatua, inawezekana wote tunapiga hatua sawa ila tunatofautiana destination kwahiyo usikatishwe tamaa na mafanikio ya mtu mmoja mwingine kiasi cha kuacha kuendelea na hatua zako, elewa tu ya kwamba yeye tayari ameshafika ila nawewe pia utafika kwahiyo keep going.

Hakikisha unayo mipango na unapoitekeleza itekeleze kwa moyo mmoja usifanye mambo nusunusu kisa tu uko na plan B(kwa maana ya vyeti ulivyofungia kabatini).

Lakini pia Usimuachie ndege uliyenae mkononi kisa tu umeona ndege watatu kwenye mti.... Thamini ulichonacho.

Waziri wenu hapa wa mambo ya ndani.
 
Wewe ndio ume elewa andiko vyema Sana, afya ya kiakili na kimaamuzi ni muhimu.
 
Mgeni wa Jiji, Mpaji Mungu, and 100 others, makutupora huyu tuna zikia wapi🤣😂
 
Umesema vema Mh. Rais wa Majobless Promax

Haijalishi Mambo ni Magumu kiasi Gani, kujishusha thamani na kujiondoa uhai wako si suluhisho Bora!

Kuna asubuhi yenye mwangaza katika kila Giza lenye kutisha!

Tusikate Tamaa Majobless
Naam afya ya akili na kimaamuzi ni muhimu.
 
Mkuu ume elewa kilicho zungumziwa?, hapa nime zungumzia afya ya akili na maamuzi mzee.
Mtu ambaye hajasoma tena unamzidi elimu anapambana Ameoa na ana watoto anasomesha kwa kazi za kuungaunga halafu wewe mwenyewe elimu unataka kuchukua maamuzi mabaya😀😀😀
Maisha yapo kikatili sana, kama ni mvivu, mzembe, legelege na hujishughulishi kwa chochote lazima yakuadhibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…