Thats fucking weak mkuu,haya ukifanikiwa utajifia nn Sasa?Mfano eti Kuna mtu anatumia mitishamba Ili kupata mademu yaani Hadi nawahurumia,Sasa utajivunia uwezo upi ulionao kama Kila kitu unaenda Kwa waganga?Hii Inamaanisha hata vyuoni kufaulu umeloga,kupata mchumba na kazi umeloga,kwenye ndoa umeloga Sasa ukiangalia unafaida Gani duniani?

Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja .
Mambo ya customer care, location, research , demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache kwenye vitabu huko huko.
Yaliwahi kunikuta mwaka 2020 Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku kwenye huo uzi watu wameleta mpaka statics za USA na blah blah kibao mwingine akawa analeta mfano wa matrekta na ujinga ujinga meingi kilichotokea biashara ilifirisika wateja sifuri nilikuwq nashinda kwenye fremu asbh mpaka jioni bila bila ila wenzangu biashara hiyo hiyo wanauza kwq pembeni nikahama location lakini hali hiyo hiyo.
Ukweli nilikuja kuujua baadae
Ushauri wangu kwenu kabla haujaanzisha biashara katafute kinasa wateja, usilete ulokole kwenye biashara.
Uzi nilioleta mwaka 2020 kuomba ufafanuzi na ushauri soma hapo chini
Hahahah Itakuwa sie wauza vijora na mifuko ya 'shangazi kaja'Hivi kweli mkuu kwa akili yako unazani wafanya biashara wakubwa wa matrekta wanaweza kuanzisha uzi kama huu? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Inawezekana changamoto ni ubunifu, ulienda kufungua biashara hiyohiyo ya wenzio uliowakuta. Unajua hata hao uliowakuta walitumia muda Gani mpaka kupata wateja?
Thats fucking weak mkuu,haya ukifanikiwa utajifia nn Sasa?Mfano eti Kuna mtu anatumia mitishamba Ili kupata mademu yaani Hadi nawahurumia,Sasa utajivunia uwezo upi ulionao kama Kila kitu unaenda Kwa waganga?Hii Inamaanisha hata vyuoni kufaulu umeloga,kupata mchumba na kazi umeloga,kwenye ndoa umeloga Sasa ukiangalia unafaida Gani duniani?
Mafanikio kwenye biashara yanategemea nguvu ya kiroho uliyonayo Mungu anatoa baraka na shetani pia atakusaidia kupata pesa zenye masharti
Ukiwa na nguvu ya kiroho sio kwamba wateja ndio wanaongezeka hapana ukiwa na nguvu ya kiroho unakuwa na maarifa makubwa na utajua namna kuiendesha hiyo biashara yako kwa mafanikio
Kila mtu si angekuwa tajiri mkuu hivyo unavyoamini wewe kila Kona watu wanafanya biashara wanatafuta pesa ila wanaofanikiwa ni wachache wenye nguvu ya kiroho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.