Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

watu kama hawa miyeyusho sana wakiona mtu tajiri wanajua karoga kama wao
 
Kwel bwana, kuna vitu hata huwez kujisifia ukivipata sababu tu ya namna iliyotumika kuvipata
 
Mzee acha mawazo ya kishirikina hufiki mbali. Maisha hayana formula so utakavyotoka wewe sivyo atakavyotoka mwenzio.
 
Inawezekana changamoto ni ubunifu, ulienda kufungua biashara hiyohiyo ya wenzio uliowakuta. Unajua hata hao uliowakuta walitumia muda Gani mpaka kupata wateja?
 
[emoji23][emoji23]

Kwamba kila kitu yeye analoga
 
Yaaani wewe dogo sijui akili zako zipoje...kwenye biashara kinachohitajika ni wateja tu na sio maarifa wala upuuzi kama unaoutaja wewe
 
A man becomes what he thinks most of time....

Imagination is the faculty of mind....

Your thoughts shape your life...

The principal of life is the principal of belief...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…