Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.
Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza
kinasa wateja.
Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache kwenye vitabu huko huko.
Yaliwahi kunikuta mwaka 2020 Kutokupata wateja kuanzia asubuhi hadi jioni baadhi ya siku kwenye huo uzi watu wameleta mpaka statics za USA na blah blah kibao mwingine akawa analeta mfano wa matrekta na ujinga ujinga meingi kilichotokea biashara ilifirisika wateja sifuri nilikuwq nashinda kwenye fremu asbh mpaka jioni bila bila ila wenzangu biashara hiyo hiyo wanauza kwq pembeni nikahama location lakini hali hiyo hiyo.
Ukweli nilikuja kuujua baadae.
Ushauri wangu kwenu
kabla haujaanzisha biashara katafute kinasa wateja, usilete ulokole kwenye biashara.
Uzi nilioleta mwaka 2020 kuomba ufafanuzi na ushauri soma hapo chini
Hahahah Itakuwa sie wauza vijora na mifuko ya 'shangazi kaja'Hivi kweli mkuu kwa akili yako unazani wafanya biashara wakubwa wa matrekta wanaweza kuanzisha uzi kama huu? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app