City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Sasa unasimamia kipi katika mada yako!?Messi ndo Mtakatifu kabisa, kaanza kuwa na mwanamke baada ya kuanza kulipwa Barcelona.
Kadumu na mwanamke mmoja tu, na anawakimbia wanawake, yule jamaa wanamuapproach sana, interviews nyingi akiona wanawake wanamkaribia anawakimbia kabisa, utadhani Antonella kampa dawa.