Ewe kijana Mpananaji Mpira na Mapenzi visikupotezee Mda wako

Aliyekwambia Bongo nchi unpredictable ya wala rushwa na 10% kutokufanikiwa ni kukosa mipango ni nani ?

Hao unaowaambia waache kuangalia game na kujiliwaza kwa mambo mengine (opium of the mass) n.k. wakirudi huku na kuangalia jinsi game ambavyo lipo stuck against them patakuwa hapatoshi (hence bora waendelee na hio distraction ama sivyo vichaa watazidi kitaa); Nchi hii ambayo sio sustainable na dunia ya stiff competition leo unaweza ukawa juu kesho mchangani; Waulize kina Nokia; Blackberry; Kodak to name just a few.....

By the way McDonald made it at what age ?;
 
Mara zote ushauri una options mbili tu uchukue au uache yote ni juu yako
 
Mara zote ushauri una options mbili tu uchukue au uache yote ni juu yako
unapotoa ushauri kwa kusema kitu hiki ni cheupe au cheusi na ukaambiwa hiki ni grey inabidi utete hoja yako na sio kusema sawa wewe binafsi unavyoona; kwa mtizamo wako huenda wewe ndio unahitaji ushauri kuliko unaowashauri
 
Hii ni comment kutoka Reddit:

Dude I used to be the same way, but with American football.. I'm 37 now, and in the past three years, I've really stopped giving a shit. My reasons are, for one, I'm a full grown adult watching guys play a game. That's not worth my emotional energy. The players are for the most part a bunch of spoiled, overpaid twunts. The owners are billionaire scumbags. I attended a game two years ago, and I'm circling outside the stadium to my entrance, and the billionaire owner of the NY Jets, pulls up in a limo, and a team of thug bodyguards starts pushing everyone including me out of the way.. Mind you it wasn't even necessary, it wasn't even crowded. It brought home to me, I have nothing in common with these .01 percent billionaire, morally bereft owners. Some players are awesome but most are not. And for them, it's a business. They don't care for the most part about winning, it's about getting paid. This shit is childish I realized. Don't let an external thing you have no control over disturb your emotional state. If your team finishes first or last, has zero bearing on anything in your life, except you can either talk shit or receive shit talk from other fans. Where I'm at now, not really a fan of the Jets or any team, but my hate of the Patriots is still there. But I don't get worked up either way. I invested so much emotional energy for 35 years, and finally realized it was stupid. Do your own thing man, compete yourself one something as a healthy outlet. Being a fan is like being a male cheerleader, and that's not something I'm interested in.

Credits: rdyek
 
Kujinyima sana sio mchongo balance madude ukipata mbususu chakata, kama ratiba haipo tyt nunulia pisi yako jersey mtokeee kwa lupaso mfurahie siku.....hii mambo ya userious mingi achia mzungu
 
Exactly
 

Umenena vyema mkuu,

Hii n muhimu,tusisahau kuishi tukiwa tunapamabna na maisha

Wengi hatuishi sasa ,tunasubr mambo yakae sawa,tunasubr tuwe na mafankio makubwa na bahat mbaya lolote linaweza kutokea mtuanaweza kufa akiwa bado hujaishi
 
Sio wote walofanikiwa wamepambana wamevuja jasho hapana wengne ni bahati tu na wengne ni mali za urithi na wwngne ni pesa ya familia

Kuna watu wa hovyo sana wanafundisha watu maisha wakat akuna anaejua formula ya maisha wala akuna anaejua formula ya mafanikio

Maisha na mafanikio ni km uji wa moto kla mtu ananjia yake ya kuunywa suala ni kushiba
 
Mafanikio yyte yale ni mipango na marengo izo polojo nyingne mnaturetea ni kutupotosha tu

Usinywe pombe kuna mazee humu yanakesha mabaani ila pesa imejaa kibao
Usipende sana kuvaa kuna watu wanavaa tena nguo za brand kubwa ila ni matajir na pesa ipo
Usiendekeze tumbo usipende kula vzr sasa iyo pesa tunatafta ya nn km ad kwenye kula tujibanie

Yan kwa ufupi mnakela sana tena nyie mlofanikiwa ukubwani huwa mnajiona mmetoboa sana na mnaakili sana wakat mafanikio yenyewe umeyapata ukubwani
 
Hayo maisha unamtafutia nan na hayo mambo huwezi kuyafanya uzeeni maana utakuwa na majukumu mengi.

Tafuta maisha ila yaishi maisha ,utakufa mda wowote ,dhumuni la kupambana ni wewe mwenyewe kwanza maana familia ukulazimishwa kuoa wala kuwa na watoto.

Ujinyime kisa future ya watoto kwani lazima kuwa na watoto?
 
Copy dat
 
Hili bandiko halikua la kila mtu.

Mtoa mada aliandika maalumu kwa hustlers na vijana wanaopambana kufika mbali kimaisha.

Kuna sababu kuu kwanini watu waliofanikiwa katika hatua kubwa ni asilimia 5 tu kati ya 100.
 

Kijana wacha kufoka,sema unachotaka kusema kwa utaratibi
 
Hili bandiko halikua la kila mtu.

Mtoa mada aliandika maalumu kwa hustlers na vijana wanaopambana kufika mbali kimaisha.

Kuna sababu kuu kwanini watu waliofanikiwa katika hatua kubwa ni asilimia 5 tu kati ya 100.
Bora umewaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…