Ewe kijana usikubali kuoa au kuwa katika mahusiano na binti anayeigiza kukupenda.

Ukikutana na desperate wa ndoa bado itaigiziwa tu labda ukutane na chagua chaguaaa… Kama mtu anataka umuoee lazima akuigizie hizo mbinu zako hazifanyi kazi[emoji23][emoji23][emoji23]

Tena waigizaji wanamajibu mazuri mpk utapendraa ni sawa babe utanipa siku ingine kumbe amekutarget

Hizo mbinu ni dhaifu sana haswa ukikutana na matapeli
 
Umasikini ndio driving factor kubwa inayowafosi 90%wanawake wengi kuingia kwenye ndoa,10 wanaingia kama matured wanajua nini maana ya ndoa,wengi wameshindwa na uchumi.
Ukistaafu au ukiwa Mzee kipato upungua na upendo upungua kama nguzo ya maisha yako ipo kwenye mapenzi lazima ufe mapema.
 
Kuna kanuni mbili za kuoa
Moja kuchunguza,ya pili kubeba tu ukipata mwema utamshukuru Mungu ukikosea utakuwa mshauri wa ndoa kuwasaidia wengine wasiingie shimoni
Wanaume walio tayar kuoa huwa hawachunguzi , wanaojipanga Kwanza ndo huchunguza...mwanaume ameumbiwa kukabili matatizo , pambana sio kuyakimbia , ukiona mwanamke huwez mvumilia , piga chini sepa
 
Hayupo mwanamke yeyeto anaeweza ingia kwenye ndoa na men yeyeto ambae Hana future.
Na hakuna men anaeweza mtokea mwanamke akiwa kimasikini.
Kile mwanamke alichokupendea ndio unatakiwa ukimantain kikiondoka na upendo uondoka
 
Yaani ke akitaka nimuache basi aanze mambo za kupimapima kama nampenda.

Na mimi kati ya vitu sipendi na siwezi kuvifanya basi ni hilo la kuanza kupimapima kama unapendwa au hupendwi.
Mbona huwaga iko wazi kabisa, na uzuri miezi ya mwanzo tu utajua huyu gashi ananipenda au niaje.

Tatizo lenu huwa mnapenda kupitiliza ndio maana mnagunduq na hivyo vipimo uchwara.
 
Kuna mmoja tulikuwa hatujaonana kama mwezi mzima, siku hiyo kaniomba elfu 30 sijui akafanyie nini, jioni yake kaniambia vipi Ile ela?,nikamuuliza alipo, akadai yupo mtaani anazurula tu. Nikamuuliza anielekeze alipo nimemmiss hata nimuone dakika chache tu(ila shida yangu nimuone kweli nimemmiss na nimpe ela aliyoniomba), hakujibu msg akakaa kimya kama nusu saa na mimi nika mute. Msg ikaingia, kwahiyo hiyo ela utanitumia au!?,nikamuuliza tena twaweza kuonana. Akakaa kimya.., nikamwambia ela yako ninayo ila nilitaka nikupe mkononi pia nikuone nimekumiss. Asivyo na akili akaniambia nipo Mwenge ITV njoo basi. Nikamchana na uhusiano ukaishia hapo. Ukiwa kwenye mahusiano na mtu ambaye anaweza asikumiss hata mwaka mzima kimbia haraka sana.
N.B nilikuwa nimeshamuona kwa madhaifu mengine mengi sana. Nilikuwa kwenye stage za mwisho za kuachana.
 
Umasikini ndio driving factor kubwa inayowafosi 90%wanawake wengi kuingia kwenye ndoa,10 wanaingia kama matured wanajua nini maana ya ndoa,wengi wameshindwa na uchumi.
Ukistaafu au ukiwa Mzee kipato upungua na upendo upungua kama nguzo ya maisha yako ipo kwenye mapenzi lazima ufe mapema.

...Toka umeingia jf, ndo leo umetumia keyboard yako ukiwa timamu💪

Hizo siku nyingine, unayochangiaga 😁tumuachie mungu tu
 
Kuna mmoja tulikuwa hatujaonana kama mwezi mzima, siku hiyo kaniomba elfu 30 sijui akafanyie nini, jioni yake kaniambia vipi Ile ela?,nikamuuliza alipo, akadai yupo mtaani anazurula tu. Nikamuuliza anielekeze alipo nimemmiss hata nimuone dakika chache tu(ila shida yangu nimuone kweli nimemmiss na nimpe ela aliyoniomba), hakujibu msg akakaa kimya kama nusu saa na mimi nika mute. Msg ikaingia, kwahiyo hiyo ela utanitumia au!?,nikamuuliza tena twaweza kuonana. Akakaa kimya.., nikamwambia ela yako ninayo ila nilitaka nikupe mkononi pia nikuone nimekumiss. Asivyo na akili akaniambia nipo Mwenge ITV njoo basi. Nikamchana na uhusiano ukaishia hapo. Ukiwa kwenye mahusiano na mtu ambaye anaweza asikumiss hata mwaka mzima kimbia haraka sana.
N.B nilikuwa nimeshamuona kwa madhaifu mengine mengi sana. Nilikuwa kwenye stage za mwisho za kuachana.
Ungerogwa kumweka ndani ungeisha habari zako
 
Back
Top Bottom