Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
Hizo mbususu zimewafanya wenzako wengi tuwapeleke futi 6 mapema
kula mbususu kuoa utaoa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kula mbususu kuoa utaoa tu
zakuambiwa changanya na zako mkuuHizo mbususu zimewafanya wenzako wengi tuwapeleke futi 6 mapema
Wanaume walio tayar kuoa huwa hawachunguzi , wanaojipanga Kwanza ndo huchunguza...mwanaume ameumbiwa kukabili matatizo , pambana sio kuyakimbia , ukiona mwanamke huwez mvumilia , piga chini sepaKuna kanuni mbili za kuoa
Moja kuchunguza,ya pili kubeba tu ukipata mwema utamshukuru Mungu ukikosea utakuwa mshauri wa ndoa kuwasaidia wengine wasiingie shimoni
Ilikuwaje sasa mzeeMpak kufikia saivi Mwanamke aliyewahi kunipenda ni mmoja tu Agness popote ulipo Ubarikiwe.
Umasikini ndio driving factor kubwa inayowafosi 90%wanawake wengi kuingia kwenye ndoa,10 wanaingia kama matured wanajua nini maana ya ndoa,wengi wameshindwa na uchumi.
Ukistaafu au ukiwa Mzee kipato upungua na upendo upungua kama nguzo ya maisha yako ipo kwenye mapenzi lazima ufe mapema.
Angalia idadi ya likes...Toka umeingia jf, ndo leo umetumia keyboard yako ukiwa timamu💪
Hizo siku nyingine, unayochangiaga 😁tumuachie mungu tu
Ungerogwa kumweka ndani ungeisha habari zakoKuna mmoja tulikuwa hatujaonana kama mwezi mzima, siku hiyo kaniomba elfu 30 sijui akafanyie nini, jioni yake kaniambia vipi Ile ela?,nikamuuliza alipo, akadai yupo mtaani anazurula tu. Nikamuuliza anielekeze alipo nimemmiss hata nimuone dakika chache tu(ila shida yangu nimuone kweli nimemmiss na nimpe ela aliyoniomba), hakujibu msg akakaa kimya kama nusu saa na mimi nika mute. Msg ikaingia, kwahiyo hiyo ela utanitumia au!?,nikamuuliza tena twaweza kuonana. Akakaa kimya.., nikamwambia ela yako ninayo ila nilitaka nikupe mkononi pia nikuone nimekumiss. Asivyo na akili akaniambia nipo Mwenge ITV njoo basi. Nikamchana na uhusiano ukaishia hapo. Ukiwa kwenye mahusiano na mtu ambaye anaweza asikumiss hata mwaka mzima kimbia haraka sana.
N.B nilikuwa nimeshamuona kwa madhaifu mengine mengi sana. Nilikuwa kwenye stage za mwisho za kuachana.
Kutafuta pesa sio kama kusenya KuniTutafute pesa tu, Shida zote hizi ni vile hatuna pesa.
🤣🤣